The king makers

The king makers

mkuu ile kitu nimeiona kule lakini ina mambo mengi sana kwa watu wenye kichwa chepesi ni vigumu sana kupata wanachokitaka kule....lakini ni kazi nzuri hongera sana mkuu...uweke na access tuweze kulog in kama humu.
Shukrani Mkuu.. Nitafanyia kazi
 
je hii tovuti ni yako Home ?? kama ni yako hongera sana mkuu...
Ni yangu na wenzngu.. Tuko vijana kadhaa, mimi nikiwa Tz, kuna mmoja yuko kenya na mwingine Uganda.!! Ndio maana unaona pia kuna content nyingi ya habari za kenya na Uganda.. Goal yetu tunataka kuhudumia kwa habari na makala jamii yote ya East Africa..
 
vizuri mkuu nategemea kuwa na traffic wa kutosha kwenye hii website ambayo wewe ni founder.. nakutakia mema mkuu, mimi kama mdau wako kwenye elimu na maendeleo...
 
Mkubwa naamini mbele huko utawaelezea na familia ya rockerfeller mana leo David Kafariki ana miaka 101
 
Basi ungenikuta siku flani namsimulia babu yangu ile story ya osama uliyoileta wiki chache zilizopita!
Tangu siku hiyo ananiamini kweli....
Shukrani sana The bold ila naomba uniongeze kwenye tag list yako mkuu!

Huwa nakosa amani kweli nikichelewa kuione thread yako
 
Back
Top Bottom