Tuendelee kuomba Mungu, maana hali inaendelea na itaendelea kuwa mbaya zaidi nchini Japan. Taadhari zingine zimetolewa kwa uwezekano wa Tsunami kutokea New Zealand, Philippines, Indonesia, Papua New Guinea, Hawaii, Mexico nk. Kwa wale wanaojua nguvu zinazosababisha matetemeko, inakadiriwa kuwa zaidi ya 8.9 ambayo inamadhara makubwa zaidi.