The Japanese Earthquake and its Aftermath

The Japanese Earthquake and its Aftermath

_51632480_011497957-1.jpg

_51634457_011498586-2.jpg

_51635015_011498619-1.jpg
The earthquake struck off the coast of north-east Japan, damaging buildings and sending a tsunami crashing on to coastal areas.
 
_51632480_011497957-1.jpg

_51634457_011498586-2.jpg

_51635015_011498619-1.jpg
The earthquake struck off the coast of north-east Japan, damaging buildings and sending a tsunami crashing on to coastal areas.

Oh me,Oh my. Mungu atuepushe na hili balaa!
 
Huku mahali kunatisha kwa matetemeko ya ardhi. Hata ukiwa barabarani unatembea unakuwa na wasiwasi wa hali ya juu kwamba ardhi inaweza kutikisika wakati wowote na kusababisha maafa na hasara kubwa sana.
 
Mwenyezi Mungu awanusuru na hatari zitokanazo na balaa hili
 
Tetemeko la ardhi linatisha. Likitokea bongo tumekwisha!

 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu awanusuru na hatari zitokanazo na balaa hili

Kusema kweli Mungu awasaidiye, hali ktk picha inatisha na zaidi zaidi hiyo mitambo yao ya Nuclear ambapo inasemekana mfumo wa kupooza (a state of cooling) umeathiriwa. Mpaka hivi sasa inasadikiwa watu 32 wamekwisha poteza maisha
 
Victor Sardina, from the PTWC, says that a "tsunami wave will cross the Pacific, no doubt about that. The same tsunami wave will reach all the way down to Chile... This is going to produce a huge amount of damage."
 
OOOh never seen or heard about such a devastating scenario. Mungu utuepushe na balaa hilo.
 
Mara tsunami mara nuclear plant

Ndg pole, they are all to do with the Tsunami -"Damage has been inflicted over a wide area," Japanese Prime Minister Naoto Kan says. "I offer deepest sympathy to people affected by the disaster. Some nuclear plants have stopped automatically, but no information about any leaks of radiation. We ask people of Japan to act calmly."
 
Mungu wanusuru waja wako.Kijiografia japan ipo kwenye ukanda hatari wa matetemeko na milipuko ya volkano inaweza kutokea wakati wowote.
 
Eeeh Mungu tunakuomba isije ikatokea hapa kwetu Tanzania!
927055-japan-tsunami.jpg
 
Back
Top Bottom