The Japanese Earthquake and its Aftermath

The Japanese Earthquake and its Aftermath

Inabidi tuombe sana Mungu haya maafa si ya kawaida hasa yakitukuta nchi maskini kama Tanzania
 
Wandugu,
Wajapan ni marafiki zetu wakubwa katika shughuli za maendeleo. Urafiki wenyewe ni wa nipe-nipokee na siyo nipe-nikupe. Siku zote sisi ndiyo tumekuwa tukikinga bakuli la misaada. Sikumbuki kama kuna siku ambayo serikali yetu iliisaidia Japan katika jambo lolote lile. Kutokana na hali hiyo, kwa nini serikali yetu inayoongozwa na kikwete isitoe msaada wowote wa kibinadamu kama ishara tu ya upendo wetu kwa Japan? Tukumbuke kwamba kutoa ni moyo, siyo uwezo. Mnasemaje wazee?
pendekeza tutoe kitu gani?
 
Duh ! Mungu ibariki tanzania mungu ibariki japan
 
Shows you how hopeless we are. Labda kasign book of condolences embassy kwao.
 
Huwa najiuliza hivi haya majanga yangetupata sisi tungekuwa na hali gani?
 
You must be joking! Tutawapa nini sisi wakati kila kukicha wizara ya fedha wanapewa pesa na hawa watu labda tuzirudishe tuwaambie sisi tumetosheka kiasi ni vyema tukawarudishia kidogo iwasaidie na janga hili. All in all kuwafariji kwa maneno pia ni njia mojawapo ya kuwa pamoja nao. Ni wajibu wetu kama wanadamu kufarijiana matatizo kama haya yanapotokea bila kujali rangi,utaifa,umaskini, utajiri sote ni wamoja. Pole nyingi kwa wale ambao wameathirika na hili kwa njia moja au nyingine maana kuna watanzania wengi wapo Japan wengi wao wakiwa na familia za kijapan tupo pamoja nanyi katika sala mungu awape nguvu na faraja tele.
 
Hii kitu ni kiboko! tuombe mungu sana atusamehe na yasitokee hapa TZ! one of the appalling and devastating catastrophe of the century! hapa TZ itatumaliza big time! Mungu atuepushie masikini sisi! RIP the ones who lost their lives! We are all in the same path! Our hearts are with you lots! RIP it is so sad and has been a massive devastation to us all!
 
An 8.9 magnitude earthquake off the coast of Northeast Japan spawned a ferocious tsunami that's caused massive destruction; flattening whole cities, starting raging fires, and killing hundreds. Nearly 88,000 people are reported missing, according to the official Kyodo news agency.
We've gathered some videos that show the scope of the disaster, and you can also see The Atlantic's collection of photos of the quake


Jaman wana Great thinker mbona haya majanga yanazidi kila kukicha kuna nini kinachosababisha? au ndiyo dalili za mwisho mwisho
Maaana mara manabii wa uongo ambao tayari wapo,majanga makubwa kila kukicha yapo kila kona ya dunia,watu kutumia jina la bwana kupata chochote wapo wengi mno

Babu wa Loliondo naye yumo kwa list maana watu wote wamemwamini kwa muda mfupi tu bila kujali dini wala kabila, umasikini au utajiri wa mtu na mengine mengi kama Misri,Tunisia,kwa mzee Gaddaf na mengine kama hapa kwetu wachache wanawatesa wanyonge kwa kuwakamua mpaka senti ya mwisho yaani wale mafisadi

Jaribu kutafakari wana great thinker
 
japan.jpg
 
magari, treni, ndege zilizokuwa zimeegeshwa, madaraja/flyovers, viwanda vimezolewa na kukootwa mbali. tuwaombee sana hasa wakazi wa visiwa vya jirani wanaosubiri zamu yao kama inavyotazamiwa. hata ndege wa angani wanaruka kwa wasiwasi mkubwa sana, wamehisi kuna kitu si cha kawaida

huenda vifo na madhara kwenye miundombinu na viwanda yakazidi ya haiti

Source: CCTV

Ooh, Lord, have Mercy on your people
 

Locals salvage belongings from tsunami and earthquake-damaged buildings in Shintona, Japan


A self-defence force soldier examines the interior of a house in Shintona, the highwater mark still visible on the walls


Rescue workers try to identify bodies of victims in Shintona, Japan Photograph: Dan Chung for the Guardian


Self-defence force personnel carry a body through Shintona, Japan


A car remains embedded in the side of a house after the tsunami passed through Shintona, Japan Photograph: Dan Chung for the Guardian


A boy stands near a body bag in the tsunami-ravaged streets of


A rescue worker picks through the tsunami-ravaged town of Shintona,


R
escue workers carry a body bag through destruction in tsunami-hit


A woman grieves in Shintona, Japan, after the tsunami surged through the town Photograph: Dan Chung for the Guardian


Wrecked cars among the debris following the tsunami which hit Shintona, Japan Photograph: Dan Chung for the Guardian
 
jamani, haya ya Japan!!!

acheni tu Mungu aitwe Mungu. tumshukuru kwa kila jambo, siku nguvu za asili zikitugeuka, hakika siku hiyo tutasema heri tungebaki na huu UFISADI wa huku kwetu!

ooh, Merciful Lord,
Glorified be your Name
 
Hali ni mbaya sana , wamepata majanga matatu makuu,
1. Tsunami
2.Earth quake 8.9
3.Nuclear explosion ambayo ni sumu kwa binadamu.

Hapa ofisini walituma kikosi kazi kwa ajili ya kuokoa, imebidi wageuzie Narita airport baada ya janga la nuclear kuzuka ili wasikumbane na hewa ya sumu, serikali yao imewarudisha fasta.

Inatuuma kwa kushindwa kuwasaidia wenzetu wa wajapan, tuwaombee sana.
 
Tepco begins metro-wide power cuts

Compiled from Kyodo, Staff report
Tokyo Electric Power Co. cut off electricity to some service areas for up to two hours Monday evening in an unprecedented move to sustain the power supply to the capital after Friday's mega-temblor in the Tohoku region crippled a key nuclear power facility.



The unprecedented rolling blackout for the Group 5 areas came after regionwide energy-saving efforts in Tokyo and neighboring prefectures contributed to the postponement of its planned power outage scheduled for Monday morning and early in the afternoon.

But the outage between 5 p.m. and 7 p.m., the peak time of power consumption, had to be carried out for the fifth zone, Tepco said, adding that blackouts started with parts of Ibaraki and Shizuoka prefectures. It was not immediately clear if the other areas in the zone were affected.

The zone includes some 330,000 households in a number of municipalities in the Kanto region, including Yokohama and Kawasaki.

The initial postponement was prompted by lower-than-expected demand as the government urged the nation to unplug unnecessary appliances.

Under the plan aimed at making up for an expected power shortage, Tokyo and eight other prefectures have been divided into five groups, each of which could experience electricity outages for three to six hours on a rotating basis, according to the utility. A power outage had been planned from 6:20 a.m. in the first of the five groups.

Despite the postponement of morning blackouts, however, train services were significantly disrupted throughout the day after railways canceled many operations as a pre-emptive measure to avert chaos.

Railways warned that Monday's disorder may continue well into April, and as long as Tepco continues its planned power outages.

A spokeswoman for Keio Electric Railway Co. said its operations Monday were limited to about 50 percent of a usual weekday, while some areas, including the stations west of Chofu, went out of service in the morning and the evening.

"Regarding our operations from tomorrow, it will all depend on how Tepco will proceed with the blackouts," the spokeswoman said, adding there is a possibility the zoning for power outages could be modified by the electricity provider as well.

Because train operations are interlinked with electricity supply from Tepco, it is unlikely regular operations will resume until the rolling blackouts end. That is expected at the end of April at this point.

A spokesman for Tokyo Metro Co. echoed this view, saying chaos may continue for a while. The subway operator said it was able to cover only about 40 percent of its schedule in the morning, but eventually had about 80 percent of scheduled trains in operation.

Hali inaendelea kuwa mbaya Japan. Jaribu kufikiria mgao wa umeme katika nchi ya tatu kwa ukubwa kiuchumi duniani. Hii ni hali mbaya kweli hasa ukizingatia uchumi wao upo so power dependant!
 
Tepco begins metro-wide power cuts



Hali inaendelea kuwa mbaya Japan. Jaribu kufikiria mgao wa umeme katika nchi ya tatu kwa ukubwa kiuchumi duniani. Hii ni hali mbaya kweli hasa ukizingatia uchumi wao upo so power dependant!

soma vizuri kwa ndani ya moyo hapo penye red, hali waliyoipata ni natural disaster si ya kujitakia wala ufisadi kama sisi nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom