nra2303 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,972 Reaction score 2,548 Jun 17, 2017 #181 mshana jr said: Mzaliwa wa Tanga. .Lushoto Click to expand... Waghoshi wa ndima,nima sana nyie jamaa! Lushoto sehemu gani?
mshana jr said: Mzaliwa wa Tanga. .Lushoto Click to expand... Waghoshi wa ndima,nima sana nyie jamaa! Lushoto sehemu gani?
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,791 Jun 17, 2017 #182 Akili Unazo! said: Maneno ya Kiarabu ya Nguvu gani kwenye Uchawi? Click to expand... Uchawi na maneno ya kiarabu dam dam Hata shetani mother language yake ni kiarabu Lugha zingine ni second language
Akili Unazo! said: Maneno ya Kiarabu ya Nguvu gani kwenye Uchawi? Click to expand... Uchawi na maneno ya kiarabu dam dam Hata shetani mother language yake ni kiarabu Lugha zingine ni second language
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,929 Reaction score 5,769 Jun 17, 2017 #183 Huyu mhojiwa kuna kitu kikubwa sana ndani yake anacho na anajaribu kukificha kwa kiasi kikubwa sana
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jun 17, 2017 #184 Zamani nilikuwa naota napaa juu kama ndege kukwepa vikwazo au mashambulizi lakini siku hizi sipati tena hizo ndoto. Kwanini na zilikuwa na maaana gani ndoto hizi mshana jr
Zamani nilikuwa naota napaa juu kama ndege kukwepa vikwazo au mashambulizi lakini siku hizi sipati tena hizo ndoto. Kwanini na zilikuwa na maaana gani ndoto hizi mshana jr
MarkHilary JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,849 Reaction score 2,288 Jun 17, 2017 #185 Kuna watu Mungu amewaumba na nguvu za asili kabisa na hawalogeki? Janaba lina impact gani kwa uchawi?
Kuna watu Mungu amewaumba na nguvu za asili kabisa na hawalogeki? Janaba lina impact gani kwa uchawi?
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,202 Reaction score 6,780 Jun 17, 2017 #186 mshana jr said: Mchawi anakudhuru mwanga anakuchezea tu Click to expand... Nimekusoma mkuu
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 17, 2017 #187 mshana jr said: Mungu mmoja katika utatu mtakatifu Click to expand... Safiiii
sharifa mohamedi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 247 Reaction score 266 Jun 17, 2017 #188 Naomba kuuliza maostadhi wanao kusomea dua kukunga'risha nyota ulichafuliwa na kukupa dawa ya kuoga kujisafisha na kuchoma naye ni mganga au uchaiwi au ni dua tu
Naomba kuuliza maostadhi wanao kusomea dua kukunga'risha nyota ulichafuliwa na kukupa dawa ya kuoga kujisafisha na kuchoma naye ni mganga au uchaiwi au ni dua tu
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,791 Jun 17, 2017 #189 Hiyo ni departure lalashe.
sharifa mohamedi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 247 Reaction score 266 Jun 17, 2017 #190 Kwanini wachawi wanapenda kujigeuza paka
moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 8,040 Reaction score 16,870 Jun 17, 2017 #191 Perfectz said: Ningependa kujua ni wapi amejifunzia elimu ya uchawi na kuroga.. Click to expand... ha ha haaaa
Perfectz said: Ningependa kujua ni wapi amejifunzia elimu ya uchawi na kuroga.. Click to expand... ha ha haaaa
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jun 17, 2017 #192 Mafuta na mifupa ya nguruwe ni ulinzi dhidi ya wachawi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,937 Reaction score 828,613 Jun 17, 2017 #193 Azarel said: Tofauti ya viini macho/mazingaombwe na uchawi ni ipi? Click to expand... Uchawi unadhuru
Azarel said: Tofauti ya viini macho/mazingaombwe na uchawi ni ipi? Click to expand... Uchawi unadhuru
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,192 Jun 17, 2017 Thread starter #194 Azarel said: Hiyo ni departure lalashe. Click to expand... Lalashe atarudi huyu
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jun 17, 2017 #195 Daby said: Lalashe atarudi huyu Click to expand... Haya Lawutani lai
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,937 Reaction score 828,613 Jun 17, 2017 #196 nra2303 said: Waghoshi wa ndima,nima sana nyie jamaa! Lushoto sehemu gani? Click to expand... Chuo cha ccm currently chuo cha mahakama
nra2303 said: Waghoshi wa ndima,nima sana nyie jamaa! Lushoto sehemu gani? Click to expand... Chuo cha ccm currently chuo cha mahakama
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,937 Reaction score 828,613 Jun 17, 2017 #197 Mokoyo said: Zamani nilikuwa naota napaa juu kama ndege kukwepa vikwazo au mashambulizi lakini siku hizi sipati tena hizo ndoto. Kwanini na zilikuwa na maaana gani ndoto hizi mshana jr Click to expand... Fantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga
Mokoyo said: Zamani nilikuwa naota napaa juu kama ndege kukwepa vikwazo au mashambulizi lakini siku hizi sipati tena hizo ndoto. Kwanini na zilikuwa na maaana gani ndoto hizi mshana jr Click to expand... Fantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,937 Reaction score 828,613 Jun 17, 2017 #198 MarkHilary said: Kuna watu Mungu amewaumba na nguvu za asili kabisa na hawalogeki? Janaba lina impact gani kwa uchawi? Click to expand... Ni kweli kabisa Janaba lina mengi ila sometimes ni imani tuu
MarkHilary said: Kuna watu Mungu amewaumba na nguvu za asili kabisa na hawalogeki? Janaba lina impact gani kwa uchawi? Click to expand... Ni kweli kabisa Janaba lina mengi ila sometimes ni imani tuu
mwambadog JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,446 Jun 17, 2017 #199 kwanini wachaw hawawalogi wanao iba pesa za wananchi?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jun 17, 2017 #200 mshana jr said: Fantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga Click to expand... Sawa Mkuu ila niliwahi kusoma humu humu JF kuwa binadamu tuna nguvu za ziada ambazo tunazitumia aidha tukiwa macho au tukiwa tumelala usiku. Kuna ukweli kwenye hili?
mshana jr said: Fantasy dreams za utotoni ama ujanani zinakoma kuwa umri ukisonga Click to expand... Sawa Mkuu ila niliwahi kusoma humu humu JF kuwa binadamu tuna nguvu za ziada ambazo tunazitumia aidha tukiwa macho au tukiwa tumelala usiku. Kuna ukweli kwenye hili?