Kuna member humu kwa jamvi kasoma hyo novel au tazama movie yake. Tujikumbushie hapa! Welcome
Unamkumbuka 1st born wa don corleone, jina limentoka alikua hafai kwa lolote, akapelekwa kusimamia casino las vegas akachemsha halafu akajiweka upande wa Mo Green ambae michael alitaka kuchukua hotel zake.
Michael alimwambia kaka ake .... u r my brother but never ever take sides against the family.
Mshkaji hakuskia aka betray la familia tena, basi kuna scene 1 jamaa kachukua kaboti kwenda kuvua samaki na mtoto wa michael, hukohuko akapigwa risasi!
Unakumbuka?
Nadhani Santino, ndiye alikuwa wa kwanza!
Huyo unayemwongelea anaitwa Fredo! "u ar my big brother but never take side with anyone against the family ever"
Fredo alienda kuungana na yule mzee kule cuba, ili wamuuwe michael!
Kuna yule producer wa filamu alimnyima deal johny fontane,akampuuza hadi don mwenyewe. Asubuhi akakuta kichwa cha farasi wake wa gharama kikiwa kitandani pake! Hapo hapo ikabidi ampe dogo deal! Hyo ndo inawezekana ile "an ofeer he couldnt refuse'
Kikubwa hasa hapa Sony alionyesha hisia zake ambapo Don hakupenda kwani iliwaonyesha adui kuwepo kwa tofauti ndani ya familia.
Anthonymtoto wa michael alienda kuwa mwanamuzik
While learning the business, undergoing the long days of tutelage by his father, Michael had one time asked, How come you used a guy like Luca Brasi? An animal like that? The Don had proceeded to instruct him. There are men in this world, he said, who go about demanding to be killed. You must have noticed them. They quarrel in gambling games, they jump out of their automobiles in a rage if someone so much as scratches their fender, they humiliate and bully people whose capabilities they do not know. I have seen a man, a fool, deliberately infuriate a group of dangerous men, and he himself without any resources. These are people who wander through the world shouting, Kill me. Kill me. And there is always somebody ready to oblige them. We read about it in the newspapers every day. Such people of course do a great deal of harm to others also.Kitu Luca brass, funaci, the tatanglia family, peter clemenza, tesio, na misemo ya don: a man who does not take care of his family is not a real man.
...Ile issue ilipangwa. Moja kati ya zile family nyingine ilifahamu kuwa Sonny akisikia tu Dada yake kapigwa na Mumewe basi anatoka mbio kwenda huko na kumpa kichapo Shemeji yake. Ile siku ya mwisho wakamuambia yule shemeji ampige na kumtukana yule binti ambaye akapiga simu iliyokuwa jikoni nyumbani kwao akitegemea kuwa angejibu mama yake ili amuambie amtumie gari la kumchukua.
Simu ikajibiwa na Sonny aliyekuwa anapita. Ile kumsikia tu dada yake analia huku akiomba aongee na mama, Sonny hakutaka kusikia nini wala nini, akaweka simu chini na kutoka mkuku kwenda kumshughulikia shemeji yake lakini akakuta Njemba zinamsubiri kwenye Mizani na kumshindilia risasi kama Mia moja hivi!
Baadae Michael alimbana Shemeji mtu hadi akakubali kuwa alitumiwa ili kusababisha kifo cha Sonny. Michael akajifanya kama amemsamehe na kumtaka aandamane na Mtu ili akapewe kazi Nyingine! Ikawa ndio safari yake ya Mwisho Duniani!!
my best movies of all time!
nimeangalia zote zaidi ya mara 8. Kuna another quality ya the godfather trilogy, camera angles na setting ni noma sana mpaka sound track.
MICHAEL ALIMUUA KAKA YAKE YUPI?
Michael alimuua kaka yake aitwaye Fredo, baada ya mama yao mzazi kufariki!
Alikuwa "sure" kabisa ila hawakujua ni nani hasa aliyemlipa. Don mwenyewe alijua hivyo na akaamuru kuwa kijana huyo ahamie nyumbani kwao ili aweze kum-monitor vizuri. Na pia alimwelekeza Michael kulipiza kisasi dhidi ya kifo cha SonnyBaada ya kuwauwa head of all five family, akaja kumuuliza shemeji yake........nani alimuaproch ili kum set-up Sonny, was it Tataglia or Basini? ---- akakiri mwenyewe kuwa, it was Barsini. Means, alihusika kwnye kifo cha Sonny ambapo inaonyesha Mike hakuwa sure.....(alikuwa Sicily kipindi hicho)! Naye alikuwa auwawe kupitia mlinzi wake (Fabricio) kwa bomu lililotegwa kwenye gari lililomuua mke aliyemuoa kule akiitwa Apolonia!
"Money is the ONLY thing"Kuna hiyo moja inaitwa "The Last Don" by Mario Puzo. Jamaa alikua noma!
Alikuwa "sure" kabisa ila hawakujua ni nani hasa aliyemlipa. Don mwenyewe alijua hivyo na akaamuru kuwa kijana huyo ahamie nyumbani kwao ili aweze kum-monitor vizuri. Na pia alimwelekeza Michael kulipiza kisasi dhidi ya kifo cha Sonny
Mkuu Consigliere nilikuwa namkubali sana kwa ushauri wake.Lakini Michael alikuwa kiboko, cool lakini dangerous. Mpaka dada yake alikuwa anamuogopa, alivyongojea baba yake afe ndio amuue shemeji yake.Mbona mimi hamnitaji taji? Au kwa kuwa nilikuwa adopted tu wenye ile familia?
Mkumbuke kuwa hii ni title tu na kile familia lazima iwe na Consigliere wake.