The Godfather ya Mario Puzo

Kitu Luca brass, funaci, the tatanglia family, peter clemenza, tesio, na misemo ya don: a man who does not take care of his family is not a real man.
Luca brass alikuwa mnyama hatari Sana,,
Salvatore Tesio alikuwa very effective right hand man,sijui akaja kubugi mwishoni ikabidi afe ,
Peter clemenza Kama sikosei ndo alikuwa guadian Angel was Michael Corleone, the most trusted kwa Godfather
 
Luca Brasi Kama alikufa kizembe hivi!! Kuna mwendelezo wa hizi novel zinaitwa
Godfather revenge's, Godfather returns na Family Corleone zimeandikwa na Ed Falco.
Hiyo Family Corleone Kuna plot Thom Hagen kipindi anasoma aligonga demu wa Luca Brasi yule ambaye alizaa mtoto halafu akaamrishwa yule mkunga amtie kwenye pipa.

Coming to Tesio, yeye alikuwa na Tamaa kwani aliona Michael hawapi chance ya kuform family zao so akaona amsnithch tu.
 
Luca brass alikua katili,alizaa na huyo,binti,ila alimwambia aitoe mimba binti akawa mgumu,
Siku anazaa,Luka alimwambia mkunga,amtupie mtoto kwenye tanuru,
Luka brass alikufa kizembe,Kama sikosei aliitwa kwenye pub na watu aliowaamini maana wakifanya ishu pamoja,kufika anawakuta wawili,ile kumkaribisha kwa bashasha,akampa mgongo mmoja,kosa kubwa,jamaa alikua na garote,kamba,akamnasa nayo shingoni na kuanza kumkamua shingo,jamaa ulimi nje...
 
Hii kesi ikampeleka ndani Hadi ikafikia hatua ya kutaka kujiua.Don vitto alipopata hii story akaona hili jembe,akafight Hadi akatoka ndo akaanza kufanya naye kazi.
Michael alishangaa Sana how baba ake anaweza kufanya kazi na Luca
 
Mike alikuwa mtu wa visasi sana! Sikuelewa ni kwanini alimkataza Vincent asiwe na mahusiano na binti yake? Wakati demu alikolea kwa mchizi!!

Michael alitaka kutoka kwenye zile biashara chafu lakini alishindwa so akaona amuachie Vincent ambaye anazipenda sana lakini at least aokoke roho ya bintiye asije kuumia kama mama yake.
 
Vito aliwaambia heads of 5 families kuwa atasahua kifo cha mtoto wake Sony lakini Michael akirudi Marekani kisha akapatwa na jambo lolote baya kama kupigwa na radi, basi atawalaumu wao!
 
Pia nilihuzunishwa na kifo cha mke wa kwanza wa Michael maana pale angepata pure Italian kids.
 
IMG_8228.jpg

IMG_8227.jpg

IMG_8226.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom