Maajabu usiyoyajua kuhusu hii movie

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Katika pitapita zangU...leo kuna ofisi flani hivi nilienda kupata huduma!!!....

Kuna muda niliwasikia wafanya kazi wa ile ofisi . Katika mazungumzo yao ya hapa na pale....wakiitaja sana na kuisifia

Movie inayoitwa the

BEEKEEPER!!!!!

Kwamba ni " MUST WATCH"

kama mdau wa movie nzuri!!! Ningependa nipatie ukweli kutoka kwa mlio-itazama!

Eti ..Ni kweli...hii movie ina balaa lake??? Ama ni overrated???? Tu

Movie gani nyingine nzuri.. ya mwaka 2023/24
Ungenishaur niitafute!???
 
Movie ......inayoitwa the

Sijaelewa umekula Bann au
 
Natamani ningeona hata picha
largeposter.jpg
 
Maelezo kutoka Google baada ya kuuliza kama hiyo movie ni nzuri
Is The Beekeeper a good movie? No. But for the most part it's comically entertaining, which is probably more than enough to satisfy fans of Statham. It felt like not just a missed opportunity... But so by-the-books and uninspired
 
Jamaa ni miongoni mwa watu wanaotumiwa na CIA kwa assassination, sasa kuna wahalifu wa mtandao walijichanganya wakaingia kwenye 18 zake, kundi la wahalifu wa mtandao linalomilikiwa na mtoto wa raisi, jamaa hakujali mtoto ni wa nani.... Na hyo beekeeper ni program maalum humo CIA
 
Maelezo kutoka Google baada ya kuuliza kama hiyo movie ni nzuri
Is The Beekeeper a good movie? No. But for the most part it's comically entertaining, which is probably more than enough to satisfy fans of Statham. It felt like not just a missed opportunity... But so by-the-books and uninspired
muundo wa kawaida sana haustaajabishi ila vitasa ndo vyenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom