Action comedy movies uzijuazo, ziorodheshe

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,458
3,433
Inakuwaje wanaJamiiForums

Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho

Sipendelei zile movies actor mpaka abinue binue mdomo au macho ndo ucheke
Napendelea ile movie ipo sirias lakin ndani yake kuna comedy
Mfano wa movie dizaini hii ni PINAPPLE EXPRESS
mpaka sasa nimeipa no.1 kwa movies dizaini hizo nizipendazo

Kama Kuna nyingine zipo uzijuazo naomba uziorodheshe katika list kwa pamoja tuburudike
MV5BMTY1MTE4NzAwM15BMl5BanBnXkFtZTcwNzg3Mjg2MQ%40%40._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
 
Inakuwaje wanaJamiiForums

Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho

Sipendelei zile movies actor mpaka abinue binue mdomo au macho ndo ucheke
Napendelea ile movie ipo sirias lakin ndani yake kuna comedy
Mfano wa movie dizaini hii ni PINAPPLE EXPRESS
mpaka sasa nimeipa no.1 kwa movies dizaini hizo nizipendazo

Kama Kuna nyingine zipo uzijuazo naomba uziorodheshe katika list kwa pamoja tuburudike
View attachment 2947956
Get Hard
Ride Along I & II
Rush Hour Franchise
Get Smart
Blue Streak
Money Talks
What's The Worst That Could Happen
National Security
Tango and Cash
The Whole Nine Yards
 
Back
Top Bottom