The Godfather ya Mario Puzo

I had the Triology...and read the book....
Can someone tell me how Vito became Don??

Pete Clemenza alimwaproach Vito kuhusu deal la kuteka magari yenye bidhaa na kuziuza hizo bidhaa, walikuwa ni Vito, Tessio na Clemenza.

Baada ya kufanikisha deal Fanucci ambaye alikuwa mbabe kitaa akataka mgao, Vito akampa mgao ule ila akamuua the same day.

Hapo ndo kina Clemenza na Tessio walipoanza kumpa heshima jamaa.
 
Wote walimuogopa Vito baada ya kumuua fanucci ikawa rahisi kwa Vito kupata u Don.kitabu ni kizuri kuliko filamu kwani kinaeleza toka mwanzo namna mtu anavyopanda kama Vito alikimbia Italy baada ya baba yake kuuwawa so unapata picha nzuri kuliko kuangalia filamu matukio mengine huwezi kuyaona.
 
itafute sicilian

Hiko pia nimekisoma, kuna dogo nimemsahau jina alikuwa anaishi mapangoni, then alikuja kuuawa akiwa anataka kusafiri kwend USA, dili likiwa limemuhusisha Michael Corleone, tena alichomeshwa na rafiki yake wa karibu.

Huyu rafiki aliyemchoma mshikaji aliuawa akiwa gerezani kama nakumbuka vizuri, kukaachwa note ya kutoa taarifa kwamba msaliti hastahili kuishi.
 
Salvatore "turi"
Alikuwa anapora matajiri anawapa masikini huko sicily
sasa madon (Mafia bosese) wa kule wakachonga mpango na Don Corleone ili amchukue Turi aende USA.
Ilipangwa aondoke na Michael Corleone ambaye alikuwa mafichoni sicily,
 
Exactly, Salvatore Turi Guiliano.

Jamaa aliwahi kuvamia gereza kuwafungulia watu, kitu kama hicho.

Long time, inabidi nivirudie hivi vitabu.
 
Pete Clemenza alimwaproach Vito kuhusu deal la kuteka magari yenye bidhaa na kuziuza hizo bidhaa, walikuwa ni Vito, Tessio na Clemenza.

Baada ya kufanikisha deal Fanucci ambaye alikuwa mbabe kitaa akataka mgao, Vito akampa mgao ule ila akamuua the same day.

Hapo ndo kina Clemenza na Tessio walipoanza kumpa heshima jamaa.

mike - they are arrange a meeting in Brooklyn, where i will be feel safe, TESSIO house, on the way i will be assassinated
tom - i always thought it could be clemenza, not tassio
mike- its a smart move, tessio was always smartter
 
Exactly, Salvatore Turi Guiliano.

Jamaa aliwahi kuvamia gereza kuwafungulia watu, kitu kama hicho.

Long time, inabidi nivirudie hivi vitabu.

hapa naona mnachanganya movie mbili, mike alipokuwa Sicily, bdygd wake alimtegea bomu afe, matokeo yake alikufa mkewe apolonia, na huko usa walishamuua kaka mtu kwa risasi kibao, ndio mike akarudi usa.- the godfather

nadhani turi, alfuatwa na Cross italy, baada ya kuhusika na njama za kumuua mjukuu wa mzee claracuzio kwa bintie alie olewa n famlia ya santario. - the last don
 
Story ya Michael kutegewa bomu kwenye gari iko kwenye Godfather.

Ila kwenye The Sicilian Michael ametokea tena mara nyingi, na alihusishwa na mpango wa kutaka kuondoka na Turi akawe member wa Corleone.

Nadhani Pete Clemenza alihusishwa na mpango huo pia.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom