Ni kweli kabisa kiongozi....Mkuu Eiyer,
Nakupongeza Kwa mada nzuri na hii inatakiwa iwe fundisho kwa nchi yetu Tanzania na Africa kwa ujumla katika mambo mengi sana ya kitaifa.
Ni kweli kabisa mkuu.....Huwezi jua labda watu walikua wanajaribu tech zao mpya
1.kama uliangalia series ya THE EVENT utaona technology ya kupoteza ndege
2.series ya LOST nayo ina scenario kama hiyo
NB: i think katika hii dunia kuna vitu vingi sana sisi binadamu hatujavijua kabisa and they act alone may be they did something to this plane. Maana kutoonekana hata mabaki it means haijaanguka hii ndege. So where is it now?? Not space rada ingeisoma....not in the sea mabaki yangeonekana maana impact ya kudondoka baharini lazima mabaki yangeelea hata kama part kubwa imezama.
Always mimi naamini zile scenarios za kwenye movie zinakuwaga ni tech in the making.....sio za kuzarau hata kidogo.Ni kweli kabisa mkuu.....
Unajua haya mambo sisi tunayachukulia kiurahisi sana....
Matukio mengi kwenye movie huwa ni taarifa kwa mambo mengi....
Ukisema ilichukuliwa na alien, maana yake, " Imeingia ndani ya Dragon's triangle". Bermuda triangle, pamoja na Dragon's triangle, ni milango inayoelekea katika ulimwengu tofauti na huu tunaoishi. Yaani outer space. Au Galaxy tofauti na yetu. Au, anaweza kusema, triangle hizi mbili, ni milango ya kusafiri katika wakati( Time travel). Ukiingia unasafiri katika wakati katika ulimwengu tofauti na wetu. Ndiyo maana vyombo visivyojulikana (UFO) zimekuwa zikiripotiwa kuonekana maeneo hayo. Ndege inapoingia katika eneo la triangle kufuatana na taarifa za vyombo vilivyopotea,(meli na ndege,) compass za vyombo hivyo zilipoteza mwelekeo kwa kuzunguka kama fan, badala ya kupoint kaskazini.hii ni kwa sababu ya magnetic field inayopatikana eneo hilo wakati wa tukio la ajali..Alien wanahusika kabisa na triangle hizi..Kuna dhana pia kuwa ndege hiyo ilichkukuliwa na alien!
Time travel hiyo. Kama mtu amechukuliwa katika time travel, hawezi kupokea simu , anakuwa akipita katika tunnel inayozunguka kwa kasi. Tazama maelezo ya rubani mmoja aliyenusurika kumezwa katika Bermuda triangle. Yeye alisafiri kutoka mji wa Miami kuelekea Bahamas. Ghafla mawasiliano ya ndege yake yakakatika, compass take ikaanza kuzunguka kama fan, na Mara hakuona rangi ya bahari, Bali aliona mawingu ya rangi ya silver, tena yalikuwa yakienda pamoja na ndege yake ;yaani yalikuwa hayarudi nyuma. Kisha akaona Yale mawingu yanageuka kuwa ya duara kama tunnel ndefu. Yeye kilichomsaidia alituliza usukani wa ndege, hakupanic . Baada ya muda ambao hana uhakika ni dakika ngapi, akaona mawingu yanapotea kisha akaona rangi ya bahari, na fedio ikaanza kufanya Nazi na compass pia. Alipotazama gauge ya mafuta ilionyesha kama vile alisafiri dakika 45. Ndani ya triangle. Baadaye aliqeza kutua salama alikokuwa akielekea.. Taarifa hii, imo katika Bermuda triangle documentary.. Kwa upande wa watu wa dini, hilo liko wazi tu. Ukiangalia katika Biblia, kitabu cha Ufunuo 20:13.imeandikwa, bahari ikawatoa wafu waliokuamo ndani yake; na mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Maana yake wore waliopotea katika njia kama ya hiyo ndege ya Malaysia , Siku ya hukumu, watatokea na kusimama mbele ya kitu cha hukumu..pia kuna swala la simu za abiria inasemekana kuwa zilipokuwa zikipigwa zilikuwa zinaita!
hili jambo bado huenda likawa ni tata na fumbo la kufaamika na wachache ama dunia nzima kutokujua kbs..!
huwa nashindwa kuelewa kwa watu wa upande wa pili(wanao amini kuhusu Mungu) kwanini wasiwe wafumbuzi wa mambo kama haya maana husema Mungu ni muweza wa yote!
bado kuna mambo hubaki kuwa ni mtambuka
Mkuu ndege ikianguka baharini haizami nzima nzima kama unavyofikiri. Inapojikita kwenye maji huparaganyika vipande vipande mabawa hukatika na bodi yake hupasuka na mizigo hutawanyika eneo kubwa. Tulichotaka sisi ni kuviona vipande hivi vikielea.Mkuu hiii ndege ilianguka na kuzama moja kwa moja baharini kama ilivyo. So far binadamu tunajua zaidi kuhusu space ambayo ni endless kuliko bahari ambayo ipo ndani ya sayari yetu. Tunajua approx 5% tu ya deep Sea, hivyo kitu kikienda chini kabisa sehemu ambazo bado ni unexplored basi tusahau. Hata hiyo ndege ya US Navy P-8A yenye uwezo wa juu katika kuchunguza vitu baharini kuna sehemu kibao za deep Sea haiwezi toboa.
Bado hatuna vyombo vinavyoweza kuwithstand extreme pressure na giza uvunguni mwa bahari.
3. Ndege kukwapuliwa na Aliens wanaoishi dunia nyingine na wana technolojia ya juu kuliko yetu.ukweli halisi upo kwenye hizi dhana mbili
1.majini ya dragons/bermuda triangle na
2.drones za kimarekani zilizokuwa zinaenda kuuzwa china
ni swala la muda tu tutajua
Duh!!Time travel hiyo. Kama mtu amechukuliwa katika time travel, hawezi kupokea simu , anakuwa akipita katika tunnel inayozunguka kwa kasi. Tazama maelezo ya rubani mmoja aliyenusurika kumezwa katika Bermuda triangle. Yeye alisafiri kutoka mji wa Miami kuelekea Bahamas. Ghafla mawasiliano ya ndege yake yakakatika, compass take ikaanza kuzunguka kama fan, na Mara hakuona rangi ya bahari, Bali aliona mawingu ya rangi ya silver, tena yalikuwa yakienda pamoja na ndege yake ;yaani yalikuwa hayarudi nyuma. Kisha akaona Yale mawingu yanageuka kuwa ya duara kama tunnel ndefu. Yeye kilichomsaidia alituliza usukani wa ndege, hakupanic . Baada ya muda ambao hana uhakika ni dakika ngapi, akaona mawingu yanapotea kisha akaona rangi ya bahari, na fedio ikaanza kufanya Nazi na compass pia. Alipotazama gauge ya mafuta ilionyesha kama vile alisafiri dakika 45. Ndani ya triangle. Baadaye aliqeza kutua salama alikokuwa akielekea.. Taarifa hii, imo katika Bermuda triangle documentary.. Kwa upande wa watu wa dini, hilo liko wazi tu. Ukiangalia katika Biblia, kitabu cha Ufunuo 20:13.imeandikwa, bahari ikawatoa wafu waliokuamo ndani yake; na mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Maana yake wore waliopotea katika njia kama ya hiyo ndege ya Malaysia , Siku ya hukumu, watatokea na kusimama mbele ya kitu cha hukumu..
Ni kweli na ndiyo maana zile movie za WTC za ndege kugonga majengo yaliyojengwa imara sana kisha ndege zile kuzama ndani ya majengo yale ni hadithi isiyoingia akilini.....Mkuu ndege ikianguka baharini haizami nzima nzima kama unavyofikiri. Inapojikita kwenye maji huparaganyika vipande vipande mabawa hukatika na bodi yake hupasuka na mizigo hutawanyika eneo kubwa. Tulichotaka sisi ni kuviona vipande hivi vikielea.
Kwanini haujakamilika?Mkuu Eiyer uchambuzi wako ni mzuri, lakini ukiongele M370 bila kugusa neno Aliens uchambuzi haujakamilika.
Asante mkuu kwakunitangSlowly , merengo90 , Nifah , The bold , princess ariana , onechromosome , navajo , babu na mjukuu , Jah bless , Mr perfect , xb664 Kelvin mwalukas , criss van chicha , Komeo Lachuma , Ndetimakete , werrason , Blaki Womani , Upepo wa Pesa , Pendael24 , Juma chief , kauzu12 , mtu chake , Mlelajr , Aziz Seiph , NAKEMBETWA , Mwanga Lutila , chumvichumvi , ngajone , sumer , Yamakagashi , cpt , mselambaya , mr green , Duterte , stable woman , PUNKY , Napoleone , kadefeghe , Compton , twalib ngonyani , Boanerge , linous , @fahadin ,fuentte , itearz , torvic , afsa , Kazwala mkuu , festo james , kibol , Kolomije wa Dar , the glassroof , Guse , ananijua , Mgibeon , SDG , Tugas , kagulilo1 King Victor , Bob Kawari , Njopino , Bishop Hiluka , Kim il Enos
Kama kuna ukweli Fulani. Hata sayari zinaongezeka.Yapo mengi sana ya kutilia shaka....
Kama kweli hatujui ilipo ndege hii basi kuna uongo juu ya namna umbo la dunia lilivyo....
Mkuu na hii dhana kwamba hii ilikuwa ni vita ya kibiashara na kwamba Rothschild alihusika katika kupotea kwa Malaysian Flight MH-370 imekaaje? Hebu google hapa, "Coincidence?Rothschild inherits Freescale Semiconductor Patent -result of engineers deaths on flight MH-370."Ni kweli na ndiyo maana zile movie za WTC za ndege kugonga majengo yaliyojengwa imara sana kisha ndege zile kuzama ndani ya majengo yale ni hadithi isiyoingia akilini.....