Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #181
Mkuu,unaonaje ukimwaga nondo zilizoko huko maana hapa nmechokoza tu mada...Mkuu na hii dhana kwamba hii ilikuwa ni vita ya kibiashara na kwamba Rothschild alihusika katika kupotea kwa Malaysian Flight MH-370 imekaaje? Hebu google hapa, "Coincidence?Rothschild inherits Freescale Semiconductor Patent -result of engineers deaths on flight MH-370."
Nadhani itakuwa bomba sana kama ukileta nondo hizi ili tupanue mjadala zaidi mkuu....