The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

Nahisi itatuchukua miaka 150 kufikia hawa jamaa Kwa mambo mengi sana.
Teknolojia inayotangazwa public ni tofauti sana na iliyoko mafichoni....

Tutalizungumzia hili siku nyingine mkuu,lakini ni mambo ya kustaajabisha sana mkuu....
 
Hii dhana nayo ipo na inavutia sana....
pia kuna swala la simu za abiria inasemekana kuwa zilipokuwa zikipigwa zilikuwa zinaita!
hili jambo bado huenda likawa ni tata na fumbo la kufaamika na wachache ama dunia nzima kutokujua kbs..!

huwa nashindwa kuelewa kwa watu wa upande wa pili(wanao amini kuhusu Mungu) kwanini wasiwe wafumbuzi wa mambo kama haya maana husema Mungu ni muweza wa yote!

bado kuna mambo hubaki kuwa ni mtambuka
 
Maybe your threads! Oh gosh! How many times do i have to sing to you people to be just 'fans'. Let the king bold reign the jf's most coveted forum. Sio ku copy na kufasiri toka Wikipedia. Hata me naweza hiyo mambo. No hard feelings pal!
 
Kuna wengine walitoa nadharia ya kwamba ilikuwa imebeba mtambo wa kuendesha "drones" ambazo hufanya doria Afghanistan. Mtambo huo ulibebwa humo kwenda kuwauzia wachina baada ya urusi kukataa kuununua. Sasa wamarekani wakagundua hilo ,. Sasa Ndege ilipoondoka hapo Malaysia kuelekea China, wakawa wameifatilia kisha wakaiteka juu kwa juu,mpaka ikatua kwenye kambi ya kijeshi ya wamarekani ambayo inasemekana iko visiwani mwa Bahari ya Hindi. Kisha wakachukua mtambo wao na Kuangamiza wote waliokuwamo ndani,kisha ikazamishwa chini ya Bahari (bottom of the ocean). Hii nadharia ambayo ilikuwa ikihusishwa pia
 
Teknolojia inayotangazwa public ni tofauti sana na iliyoko mafichoni....

Tutalizungumzia hili siku nyingine mkuu,lakini ni mambo ya kustaajabisha sana mkuu....

Sawa Sawa!
 
pia kuna swala la simu za abiria inasemekana kuwa zilipokuwa zikipigwa zilikuwa zinaita!
hili jambo bado huenda likawa ni tata na fumbo la kufaamika na wachache ama dunia nzima kutokujua kbs..!

huwa nashindwa kuelewa kwa watu wa upande wa pili(wanao amini kuhusu Mungu) kwanini wasiwe wafumbuzi wa mambo kama haya maana husema Mungu ni muweza wa yote!

bado kuna mambo hubaki kuwa ni mtambuka

Ndiyo maana, Kati ya comments moja wapo nimesema hii issue ni kwamba, walio-nje ya dunia hawajui chochote juu ya ndege ila walio ndani ya mhimili wa Dunia wanaelewa ndege ilipo tena bado inapiga kazi.
 
Mkuu unaonyesha we ni mtu wa majivuno sana.kama kuna kitu unajua kwanini usielezee kwa faida ya wengi? unadhihirisha ulivyo na tabia za kiporipori za kujiona unajua tuu wewe hakuna mwingine anaejua ila ww tuu.Acha kujikweza.
 
Aiseeeeh,

Mmmmmmmmh. Wala siwezi kujivuna nilisema ni classified information hizo. Siwezi disclose that to any third part(s)
 
[HASHTAG]#eiyer[/HASHTAG] na [HASHTAG]#the bold[/HASHTAG] Mungu awape maisha marefu.

Salute kwako, huwa najifunza mengi kupitia threads zako
 
pia kuna swala la simu za abiria inasemekana kuwa zilipokuwa zikipigwa zilikuwa zinaita!
hili jambo bado huenda likawa ni tata na fumbo la kufaamika na wachache ama dunia nzima kutokujua kbs..!

huwa nashindwa kuelewa kwa watu wa upande wa pili(wanao amini kuhusu Mungu) kwanini wasiwe wafumbuzi wa mambo kama haya maana husema Mungu ni muweza wa yote!

bado kuna mambo hubaki kuwa ni mtambuka
Mkuu

Tukio hili na mengine ni miongoni mwa matukio mengi sana yaliyowahi kutokea duniani yaliyoacha maswali mengi sana.....

Ni jukumu la kila mmoja kutafuta ufumbuzi. Inaonekana hatupo salama kabisa......
 
pia kuna swala la simu za abiria inasemekana kuwa zilipokuwa zikipigwa zilikuwa zinaita!
hili jambo bado huenda likawa ni tata na fumbo la kufaamika na wachache ama dunia nzima kutokujua kbs..!

huwa nashindwa kuelewa kwa watu wa upande wa pili(wanao amini kuhusu Mungu) kwanini wasiwe wafumbuzi wa mambo kama haya maana husema Mungu ni muweza wa yote!

bado kuna mambo hubaki kuwa ni mtambuka
Mkuu

Tukio hili na mengine ni miongoni mwa matukio mengi sana yaliyowahi kutokea duniani yaliyoacha maswali mengi sana.....

Ni jukumu la kila mmoja kutafuta ufumbuzi. Inaonekana hatupo salama kabisa......
 
Kuna wengine walitoa nadharia ya kwamba ilikuwa imebeba mtambo wa kuendesha "drones" ambazo hufanya doria Afghanistan. Mtambo huo ulibebwa humo kwenda kuwauzia wachina baada ya urusi kukataa kuununua. Sasa wamarekani wakagundua hilo ,. Sasa Ndege ilipoondoka hapo Malaysia kuelekea China, wakawa wameifatilia kisha wakaiteka juu kwa juu,mpaka ikatua kwenye kambi ya kijeshi ya wamarekani ambayo inasemekana iko visiwani mwa Bahari ya Hindi. Kisha wakachukua mtambo wao na Kuangamiza wote waliokuwamo ndani,kisha ikazamishwa chini ya Bahari (bottom of the ocean). Hii nadharia ambayo ilikuwa ikihusishwa pia
Yap mkuu,hii nayo ni moja ya dhana,lakini "maadui" wa Marekani wameshindwa kuwaumbua hawa Wamarekani kwa jambo hili?
 
Mkuu Eiyer,

Nakupongeza Kwa mada nzuri na hii inatakiwa iwe fundisho kwa nchi yetu Tanzania na Africa kwa ujumla katika mambo mengi sana ya kitaifa.
 
ukweli halisi upo kwenye hizi dhana mbili
1.majini ya dragons/bermuda triangle na
2.drones za kimarekani zilizokuwa zinaenda kuuzwa china
ni swala la muda tu tutajua
Huwezi jua labda watu walikua wanajaribu tech zao mpya
1.kama uliangalia series ya THE EVENT utaona technology ya kupoteza ndege
2.series ya LOST nayo ina scenario kama hiyo
NB: i think katika hii dunia kuna vitu vingi sana sisi binadamu hatujavijua kabisa and they act alone may be they did something to this plane. Maana kutoonekana hata mabaki it means haijaanguka hii ndege. So where is it now?? Not space rada ingeisoma....not in the sea mabaki yangeonekana maana impact ya kudondoka baharini lazima mabaki yangeelea hata kama part kubwa imezama.
 
Yap mkuu,hii nayo ni moja ya dhana,lakini "maadui" wa Marekani wameshindwa kuwaumbua hawa Wamarekani kwa jambo hili?
Kama ishu ni huo mtambo bado haijasaidia maama tech inabaki.kichwani kama hao talibani waliweza kutengeneza mtambo wa kukontrol drones za USA pale afganistan then wangeshalipua kambi zote ndani ya ile.nchi na it means bado tech wanayo kichwani so sidhani.kama Usa wamehangaika kwa yote haya na kuua watu wote wale kwa kitu ambacho mtu anaweza tu akaenda china akawa blueprint wakatengeneza huo.mtambo.
 
Nadhani ni kama Tanganyika na Zanzibar lakini wao ni tofautu sana maana naona kama Hong Kong wanajitegemea kwenye mambo mengi sana...
ooh Sawa
ndio maana nasikiaga neno la kuwa Jamujuri ya watu wa China
 
Back
Top Bottom