Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,049
- 143,035
Mkuu hiii ndege ilianguka na kuzama moja kwa moja baharini kama ilivyo. So far binadamu tunajua zaidi kuhusu space ambayo ni endless kuliko bahari ambayo ipo ndani ya sayari yetu. Tunajua approx 5% tu ya deep Sea, hivyo kitu kikienda chini kabisa sehemu ambazo bado ni unexplored basi tusahau. Hata hiyo ndege ya US Navy P-8A yenye uwezo wa juu katika kuchunguza vitu baharini kuna sehemu kibao za deep Sea haiwezi toboa.
Bado hatuna vyombo vinavyoweza kuwithstand extreme pressure na giza uvunguni mwa bahari.
Ushahidi kuwa ilianguka na kuzama moja kwa moja baharini ni upi?
Na ni bahari ipi?
Ukweli ni kwamba hakuna anayejua kilichoisibu hiyo ndege na hakuna ajuaye, mpaka kufikia sasa, mahali ilipo hiyo ndege.
Kilichopo ni nadharia tu na mojawapo ya hizo nadharia ni kama hiyo uliyoitoa wewe.
Nadharia zingine ukizisikia utacheka sana.