Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,442
Wewe mwenyewe kilaza mkuu.JF vilaza wengi sana. Sasa wanakwambia wewe uandikie hiyo flight ni mtaalam wa mambo hayo? Yaani wanaanzaje kukufuata kukushawishi uandikie wakati kila kitu kipo kwenye mtandao ni suala la wao kujisomea tu. Ingekuwa ni mtaalam au mpelelezi wa hiyo ndege ningeelewa.sasa wanaanzaje kukufuata uje uelezee...