The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

maana tusiowahi kupanda ndege tushazoe kusikia Shangai China, Guangzou China, Beijing China ila Hong Kong ndio sehemu ya kwanza kujua kama iko China
Ni kweli Hong Kong kuna wakati inasikika kuwa iko China na wakati mwingine inajisimamamia yenyewe tu...
 
ndio maana baadhi ya mafile muhimu yalifutwa katika ufatiliaji na hata kufungwa kabisa hayo mambo ya uchunguzi kirahisi hivo.
kututoa sadaka kwa mambo yao mazito hawaonagi tabu kabisa Hao watu, huku kwetu wanatutoa sana sadaka Mara Ebola mara sijui nini....

Mungu atusaidie tusije kuwa ndani ya next plan
emoji26.png
Angalau sasa wapo wanaoona kuna shida fulani kwenye dunia yetu maana kukaa tu na kuona hakuna shida wakati kunaonekana kuna shida siyo jambo zuri kabisa...
 
Ni hivi, walio ndani ya mhimili wa Dunia wanaelewa ndege ilipo tena na sababu za mahala ilipo na waliokuwamo.

Ila, walio nje ya mzunguko wa mhimili wa Dunia hawaelewi ndege ilipo ndiyo kama wewe na wengine wengi walioaminishwa kuwa imepotea Kwa taarifa za habari za nchi hizo husika na msaada wa vyombo vya nchi za magharibi.

Sikia iko hivi, siku ndege inaondoka pana watu walitiliwa shaka na Kweli walikuwa na infidelity evidences Kwa vigezo vya nchi hizo husika.

Ila, usiniulize kuhusu innocent passengers Kwa sababu " Always, a nation (s) hold a great weight than individuals"
Nilikuelewa tangu mwanzo na nilikuuliza ili ufafanue kwa faida ya wengine...
 
Kwakweli kuhusiana na ndege hii huwa nadhani haikupotea tu kawaida, inaweza kuwa kulikuwa na sababu maalumu zilizopelekea ndege hii kupotea

Asante sana Mkuu Eiyer kwa makala hii ambayo nayo inazidi kuongeza maswali yasio na majibu kichwani kwangu kuhusiana na upotevu huu
Ukweli ni kwamba kuna mambo hayapo sawa hapa duiniani,kuna watu wanafanya mambo kwasababu wanazozijua wao na huenda wanapanga kila kitu kiwe kama kilivyo....

Tuendelee kujiuliza huenda kuna siku tukapata jibu......
 
Asante. Makala yako ni nzuri yenye mtiririko kwa mtu kuelewa. Ningeshauri saa ziwekwe kwa Kiswahili badala ya 6:00 asubuhi iwe saa 12:00 asubuhi.
Kulikuwa hamna ulazima wa kunukuu habari yote hiyo. Mnatupa shida tunaotumia simu.
 
Nilikuelewa tangu mwanzo na nilikuuliza ili ufafanue kwa faida ya wengine...

I am a third part , siwezi disclose a classified information about that to other third part(s) for any reasons.

Lakini, hali ndiyo Kama hivyo.

Hii sayari dunia, iangalie tu hivi ilivyo ila "yaliyomo nayo yamo' japo wamo wasiojua yaliyomo "
 
Ninakuelewa sana mkuu....

Tukielewa kuwa yaliyomo yamo huendatukabadilika sana namna tunavyoyatazama mambo....
 
Mkuu,
Samahani , wakati mwingine niandikapo huwa natumia falsafa Kali sana.

Niandike hivi ili uelewe :-

Ndege haijapotea, wala kutekwa ama kuzama baharini. Na hadi sasa hivi ndege ipo na inapiga kazi vizuri kabisa.

Ni hivi, walio ndani ya mhimili wa Dunia wanaelewa ndege ilipo tena na sababu za mahala ilipo na waliokuwamo.

Ila, walio nje ya mzunguko wa mhimili wa Dunia hawaelewi ndege ilipo ndiyo kama wewe na wengine wengi walioaminishwa kuwa imepotea Kwa taarifa za habari za nchi hizo husika na msaada wa vyombo vya nchi za magharibi.

Sikia iko hivi, siku ndege inaondoka pana watu walitiliwa shaka na Kweli walikuwa na infidelity evidences Kwa vigezo vya nchi hizo husika.

Ila, usiniulize kuhusu innocent passengers Kwa sababu " Always, a nation (s) hold a great weight than individuals".
Mbona kama unajua kitu mkuu,hebu funguka zaidi unatuacha njia panda wengine
 
Ninakuelewa sana mkuu....

Tukielewa kuwa yaliyomo yamo huendatukabadilika sana namna tunavyoyatazama mambo....

Mkuu,

Viongozi wenyewe hawa wa kufuta Hisa za nchi za madini kutoka 15%, wakaishusha Hisa hadi 5% kisha mwingine. Naye akaja akaifuta hadi Hisa 0%!

Ngoja nchi zetu zizidi kuwa wasindikizaji ila hawa wazungu koko, Asia hawana mzaha kabisa aisee.

Sisi huko, Afrika na Tanzania bado Sana aisee.
 
Mkuu,inavunja sana moyo kwakweli....

Wakati mwingie sijui huwa tunawaza namna gani tu....
 
Mkuu,inavunja sana moyo kwakweli....

Wakati mwingie sijui huwa tunawaza namna gani tu....

Ndiyo maana, basi hapo Afrika na (labda hata humo Tanzania) issues zinavuja sana wenzetu hawa wazungu koko na Asia wakisema hiki kitu ni classified information inakuwa hivyo, top secret inakuwa Kweli top secret. No negotiations, failure to abide to it , you will be excuted and no excuse.

Huko kwetu, isssue Kama hii ya Malaysia Air kama ingekuwa ni yetu Haaa haaa Haaa yaani, tungekuwa tulishapata ubuyu na ushilawadu wa kila kitu kilichotokea waliofanya hivyo na sababu yaani mkanda mzima wa bongo movie ungekuwa sokoni.
Mbaya zaidi, hivi visimu vya kichina ndiyo kabisa hadi waliofanya issues ungewaona live.

Ila wenzetu siyo hivyo aiseeee.

Nahisi itatuchukua miaka 150 kufikia hawa jamaa Kwa mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom