kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,704
Asante. Makala yako ni nzuri yenye mtiririko kwa mtu kuelewa. Ningeshauri saa ziwekwe kwa Kiswahili badala ya 6:00 asubuhi iwe saa 12:00 asubuhi.
Acha ku-qt mkuu
Asante. Makala yako ni nzuri yenye mtiririko kwa mtu kuelewa. Ningeshauri saa ziwekwe kwa Kiswahili badala ya 6:00 asubuhi iwe saa 12:00 asubuhi.
Shukran mkuu....Thanks mkuu, habari nzuri, kama kawaida hujatuangusha.
Mkuu ni kweli sikuwa nawaza kabisa kuhusu jambo hili na niliamua kulifuatilia na kuandika kwasababu ya maombi ya wadau....ila hapa kwenye red mmh! Nimekumbuka zile za wanasiasa kwamba nimeombwa kugombea, sikuwa na mpango kabisa.
Raia 153 kutoka China pengine ukasema Raia 1 kutoka Hong kongPrincess,kwanini umeuliza hili swali?
una msongo, kitu gani kimekufanya u quote habari yote hii, ubinafsi una sura nyingiAsante. Makala yako ni nzuri yenye mtiririko kwa mtu kuelewa. Ningeshauri saa ziwekwe kwa Kiswahili badala ya 6:00 asubuhi iwe saa 12:00 asubuhi.
Shukran mkuu....
Mkuu ni kweli sikuwa nawaza kabisa kuhusu jambo hili na niliamua kulifuatilia na kuandika kwasababu ya maombi ya wadau....
Ngoja niendelee na makala nyingine ambayo ni ngumu kweli kweli ninayoifuatilia....
Shukran mkuu...
Sasa unasema ndege inajulikana ilipo halafu unasema tena watu hawajui...Hakuna jipya hapo.
Ndege inajulikana ilipo sema kwa sababu, watu wengine wapo nje ya mzunguko wa Dunia kwenye mhimili wake hawatajua ndege ilipo.
Ila waliomo kwenye mhimili wa Dunia wanaelewa ndege ilipo.
Mbaya zaidi, ile ile ndege iko bado inapiga kazi.
mkuu naomba unikumbuke kwenye ufalme wakoSlowly , merengo90 , Nifah , The bold , princess ariana , onechromosome , navajo , babu na mjukuu , Jah bless , Mr perfect , xb664 Kelvin mwalukas , criss van chicha , Komeo Lachuma , Ndetimakete , werrason , Blaki Womani , Upepo wa Pesa , Pendael24 , Juma chief , kauzu12 , mtu chake , Mlelajr , Aziz Seiph , NAKEMBETWA , Mwanga Lutila , chumvichumvi , ngajone , sumer , Yamakagashi , cpt , mselambaya , mr green , Duterte , stable woman , PUNKY , Napoleone , kadefeghe , Compton , twalib ngonyani , Boanerge , linous , @fahadin ,fuentte , itearz , torvic , afsa , Kazwala mkuu , festo james , kibol , Kolomije wa Dar , the glassroof , Guse , ananijua , Mgibeon , SDG , Tugas , kagulilo1 King Victor , Bob Kawari , Njopino , Bishop Hiluka , Kim il Enos
Mamlaka husika huwa hazifanyii kazi dhana kama hizi mkuu na hili nalo ni tatizo kubwa.....Kweli hadi leo imekua fumbo juu ya hii ndege,ila hapo kwa wa Thailand, Taleban na hyo Dragon triangle naona nadharia hizo ni za kumulikwa kwa umakini!