Nafikiri ; Kutokana na mlolongo ulioonekana mimi binafsi naona kama ni mpango fulani.
uliopangwa na baadhi ya mataifa, kama kamali nipe pesa nikupe dhahabu. Dunia ina mambo mengi sana ,Labda ndege kama wasemavyo baadhi ya habari kwamba imetekwa ,kwa manufaa ya mataifa fulani, mambo ni mengi hao watu walio ndani ya ndege waweza kutumiwa hata kwa baadhi ya majaribio yao,maana plan za dunia ni nyingi sana;
na hilo dege yaweza kuwa lilibeba hivo vifaa nyeti unadhani wakilifikisha sehemu nyeti kabisa hao watu watawaachia?
Maana dunia ya sasa haina siri haiwezekani mataifa makubwa yashindwe kabisa kujua ndege ilipo ,yani i disappear bila trace yoyote,unbealivable! pamoja na mavifaa mazito ya uchunguzi yaliyopo duniani?
ndio maana baadhi ya mafile muhimu yalifutwa katika ufatiliaji na hata kufungwa kabisa hayo mambo ya uchunguzi kirahisi hivo.
kututoa sadaka kwa mambo yao mazito hawaonagi tabu kabisa Hao watu, huku kwetu wanatutoa sana sadaka Mara Ebola mara sijui nini....
Mungu atusaidie tusije kuwa ndani ya next plan[emoji26]