The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

Asante. Makala yako ni nzuri yenye mtiririko kwa mtu kuelewa. Ningeshauri saa ziwekwe kwa Kiswahili badala ya 6:00 asubuhi iwe saa 12:00 asubuhi.

Watu kama nyinyi mnatuudhi mno
We umeona habari badala uandike unachotaka andika wewe unatuchosha kwa kukwoti habari nzima afu unaandika mambo gani sijui
Vyeti feki bana
 
unazingua we jamaa ndo nini kuli copy li thread lote afu unandika kidogo tuu c ungemwambia tu kawaida kwa kuandika bila kuli copy lithread lote...
 
ukweli halisi upo kwenye hizi dhana mbili
1.majini ya dragons/bermuda triangle na
2.drones za kimarekani zilizokuwa zinaenda kuuzwa china
ni swala la muda tu tutajua
Gg
Mkuu,hata Bermuda triangle bado haina ushahidi wa uwepo wake achilia mbali hii ambayo unaisema wewe....

Sijakataa kuwa inaweza kuwepo lakini tatizo lake ni ushahidi mkuu...

Haya mambo ni magumu sana labda tuanze kuyatazama kwa jicho lingine kabisa mkuu....

Mkuu,hata Bermuda triangle bado haina ushahidi wa uwepo wake yachilia mbali hiirr ambayo unaisema wewe....hhuurdd
f0f9d2bd6adf2fa116ffa870170ace7b.jpg

Hg
Sijakataa kuwa inaweza kuwepo lakini tatizo lake ni ushahidi mkuu...

Haya mambo ni magumu sana labda tuanze kuyatazama kwa jicho lingine kabisab mkuu....[hh/QUOTE]d
 
Mkuu,hata Bermuda triangle bado haina ushahidi wa uwepo wake achilia mbali hii ambayo unaisema wewe....

Sijakataa kuwa inaweza kuwepo lakini tatizo lake ni ushahidi mkuu...

Haya mambo ni magumu sana labda tuanze kuyatazama kwa jicho lingine kabisa mkuu....
Uchawi upo lakini ukitaka ushahidi hautaupata kabisa. Flight 19, ilipotelea katika Bermuda triangle mwaka 1914, na hata ndege za kijeshi za US, idadi yake Sita zilizama wakati wa kuitafuta flight 19. Cha ajabu, katika Triangle ya Bermuda, baadhi ya vyombo vilivyopita vilikutwa viko salama kilomita kadhaa nje au ndani ya triangle lakini bila crew members, ina maana wamepotea katika thin air... Ndege ya Malaysia IMO ndani ya Dragon's triangle..
 
Hili la kukutwa kwa vyombo vikiwa havina wafanyakazi ni jipya kabisa kwangu....

Duniani kuna mambo mkuu....
 
simu za abiria wa kwny ndege zilikuwa zina ita kwa mujibu wa ndugu zao nilickia hii habari BBC me pia
Hili jambo lilitokea baada ya muda gani ndege kupotea?
 
Watu wA flatearth wanahisi ilipotelea kwenye barafu zilizopo ukingoni mwa duara la dunia!
 
Safi sana mtaalam wangu Eiyer.......

Hujawahi kuniangusha. Next time kumbuka kuni tag
 
Back
Top Bottom