The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

The Doomed flight: Boeing 777 [MH370] Malaysia Airlines

Hili la kukutwa kwa vyombo vikiwa havina wafanyakazi ni jipya kabisa kwangu....

Duniani kuna mambo mkuu....
Brother, Uzi wako kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea na jinsi ulivyoielezea, ni kwa ukamilifu kabisa, tena kwa mpanglio bora kabisa. Mimi naamini ndege hiyo iko ndani ya Dragon's triangle. Ninachokuomba, zama katika documentary ya Bermuda triangle, utayakuta haya ya vyombo kukutwa vikielea bila crew members. Na ukisha pitia, lete Uzi kuhusu Hizi triangle mbili kwa sababu una uwezo mzuri wa kupangilia habari unayoleta na hasa jinsi unavyoielezea kila mtu atapenda kuisoma.
 
Kweli hadi leo imekua fumbo juu ya hii ndege,ila hapo kwa wa Thailand, Taleban na hyo Dragon triangle naona nadharia hizo ni za kumulikwa kwa umakini!
 
Wakuu Moderator 's

Ninaamini ninyi ni wasikivu na mnajua shida inayolalamikiwa kwenye jukwaa hili kuhusu namna mnavyozishikilia mada zetu tunazoziweka hapa,naombeni muufanyie moderation uzi huu kisha muuachie mapema maana malalamiko ni mengi sana...

Najua muda huu Paw , Pruner , PainKiller , Reserved na Mhariri mpo online fanyeni yanayostahili wakuu....

Ahsanteni sana....
Mkuu ahsante sana ngoja nikae vizuri
Pamoja sana mkuu....
Mkuu ahsante ngoja. Nikae sawa nipate vitu
 
Makala ndefu lakini hakuna jipya..
Haupo serious Kama ni hivyo. Kusingekua na Shule ukijiona wewe Una elim ujue kuna weng hawajaenda shule na ndio maana kila mwaka darasa LA tana watakuwepo hatuwez wote tukajua Kwa pamoja

Sio lazima ureply ukiona upuuz we sepa hapo utakonekana Una hekima
 
Kutokana na maombi ya baadhi ya wanachama wa Jamii Forums waliokuja PM kuniomba niandike kile ambacho ninakifahamu kuhusiana na kupotea kunakostaajabisha kwa dege la shirika la ndege la Malaysia,leo nimeamua niandike machache kuhusu ndege hii na namna ilivyopotea katikati ya rada chungu nzima za nchi kubwa na ndogo duniani....

Sikuwa na mpango wa kuandika lolote kuhusu tukio hili,lakini nimeandika kwa heshima ya member wenzangu waliokuja kuniomba niandike kuhusu tukio hili nami bila hiyana,baada yakukusanya taarifa chache nimefanikiwa kuandika....

Thanks mkuu, habari nzuri, kama kawaida hujatuangusha.

ila hapa kwenye red mmh! Nimekumbuka zile za wanasiasa kwamba nimeombwa kugombea, sikuwa na mpango kabisa.
 
Hakuna jipya hapo.

Ndege inajulikana ilipo sema kwa sababu, watu wengine wapo nje ya mzunguko wa Dunia kwenye mhimili wake hawatajua ndege ilipo.

Ila waliomo kwenye mhimili wa Dunia wanaelewa ndege ilipo.

Mbaya zaidi, ile ile ndege iko bado inapiga kazi.
 
Duh! Kwa mazingira haya ni wazi kwamba serikali ya Malaysia inajua nini kilitokea
 
Brother, Uzi wako kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea na jinsi ulivyoielezea, ni kwa ukamilifu kabisa, tena kwa mpanglio bora kabisa. Mimi naamini ndege hiyo iko ndani ya Dragon's triangle. Ninachokuomba, zama katika documentary ya Bermuda triangle, utayakuta haya ya vyombo kukutwa vikielea bila crew members. Na ukisha pitia, lete Uzi kuhusu Hizi triangle mbili kwa sababu una uwezo mzuri wa kupangilia habari unayoleta na hasa jinsi unavyoielezea kila mtu atapenda kuisoma.
Mkuu

Ahsante sana kwa kunipa pongezi zako,nitakusanya taarifa kuhusu hayo maeneo mawili kisha nitakuja na kile ambacho nitakuwa nimejaaliwa kukipata....

Tuombeane uzima tu mkuu wangu....
 
Back
Top Bottom