The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

Ruksaaa Ila....
IMG-20251208-WA0044.jpg
 
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu
Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho

Hii ni mada maalum kuelekea tarehe 9.. Ninawaombeni tuweke matukio yote muhimu ya kila saa na kila siku kuelekea siku hiyo muhimu sana ya tarehe 9

Leo December 1 aliyetawala mitandaoni ni Padre Father Kitima .. Kwa haraka nimehesabu post za kumhusu pekee ni 18+.. Kwa hii day 1 kuelekea D9 TEC chini ya Fr. KO time wamekuwa nyota wa mchezo
Mwenye taarifa mwingine tofauti na hii please share... Kesho tunaendelea🙏🏿🙏🏿🙏🏿💪🏿✌🏿📌
Sasa Kesho mkitoka tunapata chance ya kuwamaliza wale wafuasi wa Gwajima na RC mliowapa training za kupindua Nchi...kama huniamini tokeni Kesho.
Na tunasubiti siku yeyote muda wowote na ili kutokubakisha ngedere yeyote tunaweza lock down mwezi nzima na tunayo.ma tank yamkutosha ya sulphuric acid.
Wapuuzi nyie
 
 
 
 
 
KWA WALE WA KAHAMA

KUNA KAMATA KAMATA YA BODABODA AU YEYOTE ALIYE MAENEO YA VIJIWE VYA BODABODA

HAWA WATU WAMECHANGANYIKIWA NA DESEMBA 09 NA WANAFANYA VITUKO

HABARI NJEMA: TANZANIA MPYA IMESHAKUJA NA HAKUNA WA KUIZUIA KWA NAMNA YOYOTE ILE
 
 
Code imeeleweka Sogeeni kanisani kwa Gwajima muda huu hapa neno linatupita

Kama upo Dsm fanya kusogea kanisani kwa Gwajiboy Chaaap

Soon tunaanza ibada tupo wengi
 
Back
Top Bottom