Ushauri pia kwa waandamanaji inabidi kwenda na teknolojia sio tu uwe na simu kurekodi matukio , kwa sasa ziko AI glasses hizi ni miwani zenye kamera maalum ya kuweza kurekodi video, kupiga picha na kurekodi sauti maana simu inaweza huku muda huo simu ikiwa mfukoni ili kuepusha kupotea kutokana na msongamano ikishindikana hiyo vipo vikamera vidogo unaweka tu katikati ya vifungo vya shirt unapata coverage ya tukio.
Pia drones ni muhimu kuchukua coverage kutokea juu maana wauaji wamejipanga hata waandamanaji wanatakiwa kujipanga pia kupata matukio hata kutokea juu.