The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

Huyu aliyebebwa kwenye hili jeneza alikuwa Operation officer wa Jeshi la Polisi wilaya ya Geita mjini.

Yeye ndo alikuwa msimamizi wa operation Mkoa wa Geita October 29.

Juzi kati alijiuwa kwa kunywa sumu baada ya kugundua kwamba kwenye Operation kupiga watu risasi ambayo yeye ndo alikuwa anasimamia aliuwa ndugu zake wa damu watatu na miili yao haijulikani ilipelekwa wapi.
 
Aisee ni balaa sana mkuu 😃
 
1764667936964.jpg
 
Naona mama amesharuhusu vijana waandamane bila kufanya vurugu.
“Wanaodai tulitumia nguvu kubwa sana kwenye tukio lile ,,,,
Nguvu ndogo ilikuwa ni ipi?
-
Je ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi hadi wafaulu?
 
Bado siku 7, siku ya pili imeisha na vichambo
 
Mpuuzi huyu, ndiyo maana alilazimisha kujiteua, hata alipovunja katiba ya ccm akaitisha kikao kuiwekea viraka awe mgombea yeye, na alipokataliwa kwenye sanduku la kura akajitangaza hili tu waanaye wapate ajira?

Yeye anaamini hao waanaye ndio wana umuhimu kuliko sisi watanganyika?

Polepole alioyaona haya akamwambia huwezi kugombea ili tu uajiri wanao, yeye na Nchimbi wake.

Huyu hapaswi kushitakiwa ana paswa kuondolewa na apotezwe kama afanyavyo kwa nfugu zetu.

Hakuingia ki demokrasia, hivyo hawezi kutoka kidemokrasia bali nguvu ya umma.

Mwiba hutokea ulipoingilia.

D9 atoke, liwe jua iwe mvua
 
View: https://www.facebook.com/share/v/1GHGp2CsEg/
 
View: https://www.facebook.com/share/v/1CwBAATbXL/
 
Back
Top Bottom