3squere
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 925
- 181
Yani kweli wewe ndo bumbuwazi..
Ubumbuwazi wake upo kwenye nn hapo mkuu
Yani kweli wewe ndo bumbuwazi..
Wow' at last siku ya jumapili imefika leo tunakwenda kuthibitisha kuwa waandishi wa Tanzania asilimia
kubwa sasa ni makanjanja na leo tunathibitisha kuwa The citizen sawa na Kiu na yale ya Eric,tunasubiria
muda ufike tuone kama Kakobe leo yupo hapa kanisani au la.Stay tuned'
Na mm npo mkuu
Kwa mashahidi wawili neno na lithibitike'
Mngetuwekea hata picha ya Kakobe akiwa hapo church ili ushahidi ukamilike.. Huu ushahidi wa fake ids hauna nguvu kwetu sie wa third party..
kafulia tu lakini bado yuko town! Biashara ya mazingaombwe imeingia ushindani mwingi! Mzee wa upako, Ndege, Mwingira, Lwakatare, Kingu ......
Mkuu mm npo kanisani nasubiria kwa hamu na wewe njoo ujionee mwenyewe ujachelewa
Karibu sana mkuu na wote twachane na habari za kusikia jamani.
Ndugu wanaJF,
Nimesikitishwa na kushangazwa na habari iliyochapishwa na kupewa uzito mkubwa sana (lead story) na gazeti la The Citizen toleo la jumapili tarehe 07-04-2013 iliyo na kichwa kifuatacho:[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]"Where on earth is Kakobe? Local church anxious as healer bishop skips town".[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Katika habari hiyo mwandishi wake Bwana Mkinga Mkinga alidai kwamba Askofu Kakobe hajaonekana katika miezi sita iliyopita na kwamba kwa mara ya mwisho kuonekana kanisani Mwenge ilikuwa mwezi Januari mwaka huu. Na kwamba sasa hivi yuko Marekani ndiko alikohamia. Pamoja na madai mengine ya kuzushi mwandishi huyo ambaye kwa kweli ninao ujasiri wa naweza kumwita 'uchwara' anadai kuhudhuria ibada ya Pasaka tar 31-03-2013 na kukuta ikiongozwa na aliyemtaja kama Mchungaji Hezron (jina ambalo sijawahi hata kulisikia). Kwa FGBF Dar es Salaam tunaye mchungaji mmoja tu ambaye ni Mchungaji Zakaria Kabobe.
WanaJF kwa ufupi na watu wengine wapenda ukweli habari hizi ni za uzushi na uongo mtupu, na mimi kama mshirika wa kanisa la FGBF Dar es Salaam nasema hivi tangu Jumapili ya Agosti 15, mwaka 2010 alipokuwa Zambia kwa ajili kazi ya Mungu hatujawahi kumkosa kwenye ibada yoyote ya Jumapili. Kwa mfano, jumapili ya Pasaka tulikuwa na baba yetu Askofu Kakobe kama ilivyokuwa jumapili zote zilizotangulia.
Nilikuwa naliheshimu sana gazeti la The Citizen lakini kwa habari hii naanza kutilia shaka umakini wao. Natoa wito kwa Mtendaji Mkuu wa MCL Mzee Tido Mhando, Mhariri wake Mkuu Bwana Machumu na hata mwandishi wa habari hiyo ya kizushi Bwana Mkinga wawe makini vinginevyo wataliharibu gazeti
Mimi ninao Ushahidi kuwa Wakati CITEZEN wana andika habari hiyo DENNIS MSACKY anayo taarifa kuwa Kakobe yopo na wapo waandishi wengi wa Mwananchi Mimi nina ushahidi kuwa wanajua kuwa Kakobe yupo na wanajua Nguvu zake .Ndugu yangu umeuliza swali na umejibiwa na evidences halafu, tatizo liko wapi au kuwa muumini wa kanisa ambalo mtumishi wa Mungu anahubiri watu kuacha dhambi imekuwa kosa? hii inadhihirisha ni roho ya ibilisi inayotenda kazi ndani yako, Kama Bwana Yesu alivyosema pale msalabani Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.
kumbe yupo huyu tapeli?
Kwa ufupi nikusaidie yaani ukiamini uislamu au ukiwa muumini wa dini ya kiislamu wewe uko safarini kuelekea jehanamu ya moto hata kama utalala msikitini maisha yako yote.Jamani inabidi tuambiane ukweli sasa maana siku ziko karibu ambapo kila mtu ataulizwa neema za Mungu kazitumiaje. Pia kuna neno la Mungu linasema; "Mungu Muumba hatawaadhibu watu mpaka alete Mjumbe wa kuwaonya". Sasa kimsingi Mungu alileta wajumbe wengi kulingana na wakati kwa mpangilio maalumu. Na wajumbe wote aliwatuma yeye kuanzia Adam, Nuh(Noa), Daudi (David), Suleiman(Solomon), Ibrahim(Abraham), Issa (Yesu/Jesus) Musa(Moses) na Mwisho Muhammad (Mohamed) na wengi zaidi ya laki kwa nyakati na maeneo tofautitofauti. Kwa mjumbe wa mwisho yaani Muhammad alitumwa kwa ajili ya walimwengu wote kama alivyosema Muumba, "Hatukumtuma Muhammad ila iwe rehema kwa walimwengu wote". Sasa jamani hebu tuachane na elimu mgando, tutafakari ikiwa tunahitaji kusalimika kutokana na hasira za Muumba wetu. Kama tunahitaji njia ya shetani kuelekea katika maangamizo basi sawa tufurahi kwa muda mfupi tu kisha cha moto tutakiona. Lakini kama kuna anayehitaji kupata radhi za Muumba basi wote tujisalimishe kwa kumfuata mjumbe wa mwisho ambaye anathibitisha vitabu vilivyotangulia yaani Taurati, Zaburi na Injili kupitia Qur'ani. Qur'ani imekamilisha neno la Mungu Muumba. HAPA MSIJE KUSEMA KUWA HAMKUAMBIWA AU KUONYWA. MUNGU NI SHAHIDI.
Ndugu wanaJF,
Nimesikitishwa na kushangazwa na habari iliyochapishwa na kupewa uzito mkubwa sana (lead story) na gazeti la The Citizen toleo la jumapili tarehe 07-04-2013 iliyo na kichwa kifuatacho:[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]"Where on earth is Kakobe? Local church anxious as healer bishop skips town".[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Katika habari hiyo mwandishi wake Bwana Mkinga Mkinga alidai kwamba Askofu Kakobe hajaonekana katika miezi sita iliyopita na kwamba kwa mara ya mwisho kuonekana kanisani Mwenge ilikuwa mwezi Januari mwaka huu. Na kwamba sasa hivi yuko Marekani ndiko alikohamia. Pamoja na madai mengine ya kuzushi mwandishi huyo ambaye kwa kweli ninao ujasiri wa naweza kumwita 'uchwara' anadai kuhudhuria ibada ya Pasaka tar 31-03-2013 na kukuta ikiongozwa na aliyemtaja kama Mchungaji Hezron (jina ambalo sijawahi hata kulisikia). Kwa FGBF Dar es Salaam tunaye mchungaji mmoja tu ambaye ni Mchungaji Zakaria Kabobe.
WanaJF kwa ufupi na watu wengine wapenda ukweli habari hizi ni za uzushi na uongo mtupu, na mimi kama mshirika wa kanisa la FGBF Dar es Salaam nasema hivi tangu Jumapili ya Agosti 15, mwaka 2010 alipokuwa Zambia kwa ajili kazi ya Mungu hatujawahi kumkosa kwenye ibada yoyote ya Jumapili. Kwa mfano, jumapili ya Pasaka tulikuwa na baba yetu Askofu Kakobe kama ilivyokuwa jumapili zote zilizotangulia.
Nilikuwa naliheshimu sana gazeti la The Citizen lakini kwa habari hii naanza kutilia shaka umakini wao. Natoa wito kwa Mtendaji Mkuu wa MCL Mzee Tido Mhando, Mhariri wake Mkuu Bwana Machumu na hata mwandishi wa habari hiyo ya kizushi Bwana Mkinga wawe makini vinginevyo wataliharibu gazeti
Unataka wakupachikie Askofu kakobe humu? Unajua watanzania ni wa ajabu sana. You need hard evidance just go to his church ukimkosa ndo useme hayo. Afu achilia mbali tu yupo tanzania yupo kanisani pale 24 seven.Ukikanusha habari hizo kuwa za uongo,basi tuwekee ukweli? Wewe ni mchungaji Kakobe? Nahisi kama huko updated; habarai zinasema yuko Congo, Marekani ndiko anakofanyia kazi.
Tunaomba utuletee habari sahihi za aliko, kukanusha habari za The Citzen.
Kwa ufupi nikusaidie yaani ukiamini uislamu au ukiwa muumini wa dini ya kiislamu wewe uko safarini kuelekea jehanamu ya moto hata kama utalala msikitini maisha yako yote.
Msg umeipata lakiniKafir mkubwa ww
Kimsingi anayedanganywa ni wewe maana hata hujui unachosema, poor you. Mungu akusamehe tu
Kama dakika 15 atapanda madhabauni nitaweka picha nitapga na sm yangu
Kweli the citizenwaliandika udaku, mimi jana nilifika kawasaki kwa Kakobe pale Mwenge karibu na Mlimani City Mall. Kakobe yupo na jana alipanda madhabahuni kuanzia saa 7 karibu na nusu mpaka saa 11 hivi. Alifundisha somo lililokuwa na kichwa: AKIBA YA MAOMBI. Hili somo lilinibariki sana, ambao hamkuwepo mlikosa kitu kizuri hasa kwa wale wenye mpango wa kuingia mbinguni.
Jana alionekana mwenye furaha sana kutokana na jinsi waamini wanavyojitolea kuombea mkutano mkubwa wa injili atakaoufanya kule Toronto Canada Juni 20-23, 2013. Kwa ufupi nasikitika sana Tanzania hatuna magazeti makini tuna waandishi makanjanja tu.
Wewe umejisajiri juzi humu jf hujui mchango wa Kakobe Kwenye jamii .Fuatilia uchaguzi kabla huja anza kutukana!!!!'askofu' Kakobe ni bonge la tapeli. Kawafanya waumini wake kuwa mazuzu.. Nikiona mbwembwe zake kwa tv nilikuwa naizima!