The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

Ukiskia mambo ya pesa mnasema NONSENSE!!!....kakobe unajilimbikizia mali kutokana na michango na sadaka za waumini, wewe ni mwizi tu kama wezi wengine! Hivi watu wa mungu nao wana matusi, "MPUUZI" ni wewe na waumini wako unaowaongopea na kuwanyonya, SHAME na ibada zako za kishetani!

Zitaje hapa mali ambazo Kakobe amejilimbikizia!!!???
 
NDUGU ZANGU WANA-JF,

Hakuna haja ya kutoana macho kwa habari hii. Binafsi sio mfuasi wa Kakobe ila nilishawahi kusali hapo kanisani Mwenge kwa miaka kadhaa.. Nachoweza kusema WITH ALL SINCERITY ni kuwa naombeni msiwe wepesi kwa kushutumu kwa kitu ambacho mtu hana uhakika nacho. Katika muda huo niliokuwa na-frequent pale kanisani Mwenge nimeweza kujidhibitishia pasipo shaka facts zifuatazo:
(1) Kakobe ni mtumishi mwenye uchungu na bidii sana kwa kazi ya Mungu na Injili
(2) Kakobe sio mchawi na wala hatumiii nguvu za giza. Binafsi nina binti yangu aliyepona ugonjwa wa kujaa maji kichwani kwa kuombewa na Kakobe kwa jina la YESU
(3) Kakobe hatumii hata senti moja ya sadaka kwa ubadhilifu/ufisadi. Mnaweza msiamini lakini mambo ya mali/fedha/utajiri ni vitu ambavyo Kakobe hafukuzii kabisa na wala haziko moyoni mwake. Ukiambia mali zake utashangaa jinsi alivyo wa kawaida

HIVYO nilivyosoma the Citizen kuwa amehamia/ametorokea Marekani nilishtuka sana kwa Kakobe ninayemfahamu kufanya hivyo na kuwaacha solemba kondoo wake. Ilibidi nifuatilie kwa jamaa kama watatu respectable wanaosali huko na nikadhibitishiwa kuwa Kakobe yuko siku zote kanisani!! Hapo the Citizen niliwadharau sana.
ILA kitu ambacho Kakobe kakosea ni kutotokea hadharani au kutoa statement kukanusha taarifa za the Citizen. Ninavyomjua anaweza kuwa ana-reason kuwa 'it doesn't matter' na kwamba mwenye kutaka ukweli aende akajiridhishe Mwenge kanisani. BUT this is a mistake kwani he is a public figure na inatakiwa aweke records straight. Kama angekanusha malumbano haya yote yasingekuwepo

Hivyo wandugu refrain from passing on evil judgements and condemnations to ANY servant of God because that is not any one of us's business. Imagine insulting someone whom GOD himself has chosen..!! it is tantamount to insulting God Himself. If you don't agree with any servant of God just do not go to his services, BUT also keep your mouth shut and if you can't then speak good of the servant of God you trust in.

Be blessed....
 
Gumegume hakuna haja ya kumjibu Cyberteq kwa staili hiyo infact nadhani tayari hoja za msingi umeshampa. Hizi shutuma zisizokuwa na base ni bora kumuacha acheze ngoma anayopiga mwenyewe.
Nakumbuka Kakobe aliwahi sema kuwa atamdai fidia ya bilion 1 yeyote atakaye mchafua bila uthibitisho wowote wakafyata mkia, infact niliona hiyo hekima hata lowasa alikuja kuitumia ya kushitaki yeyote atakayemchafua. So kwa sababu hoja za msingi hajibu basi zile hoja zisizo na msingi ni bora umuache alivyo.
 
Naona mnamfananisha sana na wanasiasa!:dizzy:
 
Mhh maneno mazito sana hayo! Biashara ya mazingaombwe?? una uhakika na unachokisema? wewe ni mkristu au huna dini?? Biblia inatuambia siku za mwisho watatokea manabii wa uongo lakini hiyo haitoshi kuwaona hawa watumwa wa Mungu kuwa ni watu wa mazingaombwe!!

Ambao siyo wa mazingaombwe ni akina nani???
kuwataja hao ndo naona kuwa sisahihi akini ndani ya imani kumeingia mazingaombwe kwa mfano kuwaombea wanafuni wafaulu bila kusoma, watu kupata kazi bila ujuzi, kujenga majumba bilakazi. kuna wachungaji wameacha ule msingi wa mafundisho ya Yesu kuwa "Tafuteni kwanza ufalme wa Mbingu na mengine mtayapata kwa ziada" wao husema njoo kwetu utapata kazi, utapona ukumwi, utaondokana na umasikini nk. kwa vile watu wana shida si watakuja? maana hayo pia ni mazingaonbwe. yesu alipowaponya watu hakuwatangaza hadharani. wao hununua vipindi kwenye tv kuonyesha uwezo wao! Yesu aliwakataza hata wale aliowaponya wasiseme lakini wao walisema. Kama unaponya watu watakutangaza huna haja ya kutafuta vipindi kwemye tv kujiuza. Yaani miujiza au mazingaombwe yamewekwa mbele ili kupata wafuasi. hilo lipo mana hata Yesu alisema wataoa pepo kwa jina langu lakini.. Sasa nawaonya enyi waumini kuweni makini na hawa manabii wa uwongo wanaoshindania mazingaombwe huku wakihalalisha utajiri wao na waumini wakiendele kukamuliwa kila kukicha ole wao!
 
Mimi nadhani wakati mwingine siyo vizuri kuwa too emmotional for nothing. Kama gazeti, hakuna kosa kuuliza mahali alipo any public figure, Kakobe akiwa mmoja wapo. Si sahihi pia kuleta emotions zitokanazo na imani binafasi kwa mtu badala ya kuwa na ile imani ya ukweli kwa Mungu. Napata picha kuwa ndugu mleta uzi unamuamini sana Kakobe kuliko hata Mungu wako na ndio maana umejitahidi kuhakikisha kuwa unamponda Bwana Mkinga na huku ukituonyesha waJF kuwa unafahamu The Citizen ni gazeti makini sana likiwa na uongozi thabiti wa Managing Editor Bakari Machumu aliye chini ya Managing Director wa Mwananchi Communications Limited, Tido Mhando. Sidhani kama emotions zako zinaweza kuondoa umakini wa gazeti mbele za wanaJF haswa wale wenye msimamo wa kumwamini Mungu aliyehai kuliko kumwamini mtu.

Mleta uzi unapaswa kukumbuka kuwa Kakobe ni binadamu kama wewe na kuwa naye yuko kama wengine wote so kumuamini kama yeye ni mtu asiye wakaida kunaweza kuathiri uwezo wako wakufikiri kwa kiasi kikubwa. Wote tunatambua kuwa Kakobe huyu huyu anakesi mahakamani akidaiwa na wale ambao katika kanisa lake mumewapa majina ya 'Wabaya wake' eti kwasababu wamehoji matumizi ya Kanisa mahakamani. Wote twajua kuwa kule mahakamani wale 'Wabaya Wake' wameambiwa kesi hiyo itawasumbuwa kwasababu eti kanisa limesajiriwa kama mali yake huyu Baba Yenu Askofu Kakobe (Kumbuka Yesu alikataa watumishi wake kuitwa Baba - Mathayo 23:1 mpaka mwisho) na hivyo kama ni kweli ametumia vibaya zile TSH14bilini basi ametumia pesa zitokanazo na his own investment. Je, huu ndio utukufu unataka kutuonyesha kuwa yeye hana dhambi? Na hata hiyo habari ya umeme wa Tanesco, ikumbukwe kuwa aliwahi kutuambia Watanzania kuwa ule umeme usingewaka baada ya Tanesco kulazimisha upite mbele ya kanisa lake. Mbona unawaka? Ni ule unabii wa kuwa Mrema angekua Rais wa Tanzania mwaka 1995, mbona haikuwa na sisi tunabaki kujifanya hatutaki kuona, kusikia wala kuambiwa kuwa mwaminini Mungu na siyo binadamu.

Kama unachosema wewe ni kweli, basi mpeleke Bwana Mkinga, Bakari Machumu au Tido Mhando kwa Kakobe. Kama kweli yupo nchini, basi aje kwenye ofisi za Mwananchi ili approve the newspaper wrong. Tuache propaganda ndugu zangu. Kama hayupo ni kweli hayupo. Binafsi nawapa hongera sana The Citizen kwani wangekuwa unprofessional, wangeweza hata kuandika mengine mengi ya mitaani yamhusuyo Kakobe. Wewe mwenyewe jiulize tu: Je, idadi ya wale tuliokuwa tukisali pale bado iko pale pale au wengine wameweza kupata kuokolewa na Mungu sasa amezifungua akili zao mpaka wamepata kuanza kufikri vizuri tena? Angalia idadi na utuletee uzi mwingine kwani ni dhahiri idadi imepungua sana na mumebaki wachache mnaod=subiri Mungu aje awaokoe kutokana na kifungo cha kutokusikia, kuona wala kutaka kuambiwa.
Unavyoandika ni kama una akili timamu vile, kumbe kichwani HOLA.... We nadhani ni mfanyakazi wa Citizen...
 
NDUGU ZANGU WANA-JF,

Hakuna haja ya kutoana macho kwa habari hii. Binafsi sio mfuasi wa Kakobe ila nilishawahi kusali hapo kanisani Mwenge kwa miaka kadhaa.. Nachoweza kusema WITH ALL SINCERITY ni kuwa naombeni msiwe wepesi kwa kushutumu kwa kitu ambacho mtu hana uhakika nacho. Katika muda huo niliokuwa na-frequent pale kanisani Mwenge nimeweza kujidhibitishia pasipo shaka facts zifuatazo:
(1) Kakobe ni mtumishi mwenye uchungu na bidii sana kwa kazi ya Mungu na Injili
(2) Kakobe sio mchawi na wala hatumiii nguvu za giza. Binafsi nina binti yangu aliyepona ugonjwa wa kujaa maji kichwani kwa kuombewa na Kakobe kwa jina la YESU
(3) Kakobe hatumii hata senti moja ya sadaka kwa ubadhilifu/ufisadi. Mnaweza msiamini lakini mambo ya mali/fedha/utajiri ni vitu ambavyo Kakobe hafukuzii kabisa na wala haziko moyoni mwake. Ukiambia mali zake utashangaa jinsi alivyo wa kawaida

HIVYO nilivyosoma the Citizen kuwa amehamia/ametorokea Marekani nilishtuka sana kwa Kakobe ninayemfahamu kufanya hivyo na kuwaacha solemba kondoo wake. Ilibidi nifuatilie kwa jamaa kama watatu respectable wanaosali huko na nikadhibitishiwa kuwa Kakobe yuko siku zote kanisani!! Hapo the Citizen niliwadharau sana.
ILA kitu ambacho Kakobe kakosea ni kutotokea hadharani au kutoa statement kukanusha taarifa za the Citizen. Ninavyomjua anaweza kuwa ana-reason kuwa 'it doesn't matter' na kwamba mwenye kutaka ukweli aende akajiridhishe Mwenge kanisani. BUT this is a mistake kwani he is a public figure na inatakiwa aweke records straight. Kama angekanusha malumbano haya yote yasingekuwepo

Hivyo wandugu refrain from passing on evil judgements and condemnations to ANY servant of God because that is not any one of us's business. Imagine insulting someone whom GOD himself has chosen..!! it is tantamount to insulting God Himself. If you don't agree with any servant of God just do not go to his services, BUT also keep your mouth shut and if you can't then speak good of the servant of God you trust in.

Be blessed....
KAKOBE atoke hadharani mara ngapi? Kila Jumapili yuko hadharani. Halafu mbaya zaidi Kanisa lake lipo just opposite Mlimani City ambapo ni almost a City Centre... Lakini kutokana uvivu wa watu kufanya personal research, hapo kanisani kwa KAKOBE kumekuwa mbali kama URUSI..
Mimi ni mwanahabari na pia niko katika sekta nyeti sana hapa nchini. Kakobe stories hutumiwa sana na Serikali kuondoa CONCENTRATION kwenye mambo muhimu yanayohusu Tanzania Yetu.
Sioni haja ya Kakobe kwenda Citizen, kwani Citizen hawajakatazwa kwenda pale Kanisani.
 
Sinaga imani kbs na uponyaji wa Kakobe.Kuna kanguvu fulani anakotumiaga kutoka kwa Mungu mwingine tofauti na yule anayeaminiwa na kuabudiwa na wengi.
 
Wewe usipomwamini Kakobe, hupunguzi kitu! Tuko sisi tunaomwamini, na tutadumu kumwamini! After all, HAKUNA YEYOTE anayeaminiwa na watu wote! Hata Mungu mwenyewe haaminiwi na watu wote. Wako watu wengi tu wasioamini hata kuwepo kwake Mungu. Hata hivyo, Mungu anadumu wa kuaminiwa (2TIMOTHEO 2:13). Vivyo hivyo, Yesu Kristo haaminiwi na watu wote. Na hata Shetani pia haaminiwi na watu wote, mimi pia simwamini Shetani!
 
kuwataja hao ndo naona kuwa sisahihi akini ndani ya imani kumeingia mazingaombwe kwa mfano kuwaombea wanafuni wafaulu bila kusoma, watu kupata kazi bila ujuzi, kujenga majumba bilakazi. kuna wachungaji wameacha ule msingi wa mafundisho ya Yesu kuwa "Tafuteni kwanza ufalme wa Mbingu na mengine mtayapata kwa ziada" wao husema njoo kwetu utapata kazi, utapona ukumwi, utaondokana na umasikini nk. kwa vile watu wana shida si watakuja? maana hayo pia ni mazingaonbwe. yesu alipowaponya watu hakuwatangaza hadharani. wao hununua vipindi kwenye tv kuonyesha uwezo wao! Yesu aliwakataza hata wale aliowaponya wasiseme lakini wao walisema. Kama unaponya watu watakutangaza huna haja ya kutafuta vipindi kwemye tv kujiuza. Yaani miujiza au mazingaombwe yamewekwa mbele ili kupata wafuasi. hilo lipo mana hata Yesu alisema wataoa pepo kwa jina langu lakini.. Sasa nawaonya enyi waumini kuweni makini na hawa manabii wa uwongo wanaoshindania mazingaombwe huku wakihalalisha utajiri wao na waumini wakiendele kukamuliwa kila kukicha ole wao!

Hayo maneno niliyoyabold ndiyo nataka nichangie! "Kama unaponya watu" hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa Kuponya bali mwenye uwezo huo ni Yesu mwenyewe! Na sioni kama kuna ubaya kama utatangaza matendo makuu ya Mungu anayowatendea watu ili wasioamini waweze kuamini kwamba hakika Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu! Kuonyeshwa kwenye TV kwa vipindi hivyo ni Testimony/Ushuhuda na haina maana wewe uende kwa huyo Mtumishi ambaye Mungu alimtumia kutenda miujiza bali inakufanya wewe ujisalimishe kwa Yesu.

Sisi watakatifu tulioko duniani kazi yetu ni kushuhudia matendo makuu ya Mungu na ndiyo maana Petro alisema hataacha kuyasimulia aliyoyasikia na yale aliyoyaona Yesu akitenda!
 
Ni kweli kabisa na kwaamba maneno ya Mungu hayafai kubishaniwa. Ila uko ukweli kwamba wameibuka watu na kujitangaza wao zaidi kuliko hata Yesu mwenyewe. wanaona kama wao ndo wahubiri pekee tena wasengependa kusikia waumini wao wakienda kwa mtu mwingine. watagawa vitambaa, mafuta,.. na kisha huwaambia watu kuwa watapata kupona, biashara kushamiri, kupata kazi n.k Mawazo yangu ni kuwa ni kwa nini msingi wa imani haupewi kipau mbele na badala yake ni mambo ya dunia zaidi? Mungu alituumba ili tumjue, tumpende na kumtumikia bila kujali tunapata nini kwa hivi msingi wa imani ni lazima uwe kuutafuta ufalme wa Mbinguni kwanza. tusitumie njia ya kumkamata kuku kwa kumwagagia punje za dagaa
 
Kiama kinakuja, wanakula sadaka za wapendwa wakidai kufanya miujiza feki. Mungu huyu huyu tunayemwamini siku moja atatufunulia

Utabahatika kuwepo mbinguni,mkuu Caroline Danzi ? Kuingia mbinguni ni wale tu waliotimiza sifa kama Bwana Yesu Kristo,kuwa ni wale tu wanaofanana naye katika tabia na mwenendo kama mitume na watakatifu waliotutangulia na waliopo dunia hata sasa kama ilivyoandikwa Biblia !
 
Back
Top Bottom