CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Duuh.. Hivi masihi maana yake ci mpakwa mafuta wa Bwana..? so kakobe.. mwingira na mzee wa upako ni wapakwa mafuta wa Bwana..? Wanaishi maisha ya fahari hawa wapakwa mafuta.. wanamiliki magari na majumba ya fahari.. Mh..
Anyway back kwa topic.. kama hicho unachosema ni ukweli unaweza/mnaweza kupeleka malalimiko yenu kwa baraza la habari mkiwa na ushahidi uliojitosheleza.. Najua magazeti wakati mwingine wana tabia ya ku-pre empt habari ili mtokeze na kupinga.. njia ambayo sio nzuri..
Mkuu, kumbe maana ya masihi ndiyo hiy? Hivi masihi kwa kiingereza ina maana gani nataka nijisomee kidogo. Nadhani ESAM pia anaweza kutusaidia ufafanuzi kidogo. Mi nilidhani masihi ni yesu tu, at least hizo ndizo fikra zangu finyu zinapoishia!
Last edited by a moderator: