Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,364
- 29,573
Naona kanisa zima limeamua kuja JF....Ukweli tumeujua PERIOD

Mi nilikuwa najua hayupo kabisa...Maajabu ya dunia eti kumbe yupo...

Kimsingi anayedanganywa ni wewe maana hata hujui unachosema, poor you. Mungu akusamehe tu
Mkuu unaamini Kakobe amepoteza mvuto? Yaani amechuja wenzie walio kuwa chini wamempiga bao akina Lusokelo
Tapeli ni wewe mwenyewe!'askofu' kakobe ni bonge la tapeli. Kawafanya waumini wake kuwa mazuzu.. Nikiona mbwembwe zake kwa tv nilikuwa naizima!
Pole zenu. Kina Kibwetere wakawakaanga wenzao wakisema Tazama Yuaja hapa duniani na mwisho umetimia! Wako wapi? Mifano ipo mingi sana tu mbona ya huu utapeli ulioletwa kwa meli na wakoloni mkaaminishwa eti ni neno la Mungu! Matokeo yake mnazidi kutawaliwa kimawazo kwamba toeni fungu la kumi kwa watu wanaosimama makanisani Jumapili na kupiga porojo za wazee wa kiyahudi waliokufa zamani. Matokeo yake? Kina Lwakatare wanavaa dhahabu na almasi, Vatican wanazidi kuneemeka, ilhali nyie mwaumia na maisha yenu ya dhiki!. Nyie na wale wenzenu wanaoutumia kitabu cha wazee wa kiarabu mkiamnishishwa eti ndio Mungu anaongea humo mmeliwa!
Kakobe muda si mrefu anafariki kwa shinikizo la damu sadaka zimepungua mpaka siku hizi Star TV hatumuoni

Eti Kakobe amepoteza mvuto? No research, no right to speak! JIBU HILI HAPA: Siku hizi, kipimo cha Kimataifa cha mvuto wa mtu au huduma yoyote, ni LIKES ZA FACEBOOK! Wakati huu ninapoandika, LIKES ZA FACEBOOK za wafuatao, ni hizi hapa: Bishop Zachary Kakobe International Ministries - 139,490; Jakaya Kikwete - 61,703; ITV Tanzania - 56, 413; Mwananchi Communications Ltd - 33,100; Habari Star TV Tanzania - 30,746; John Pombe Magufuli - 1,411; Edward Ngoyai Lowassa - 792. Huyo uliyemtaja hapa, zitafute LIKES zake, halafu ujipe jibu wewe mwenyewe!

Mlioenda church vipi kakobe yupo?