The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

Ndio maana tunasema watanzania ni wepesi kuropoka na wavivu wa kutafakari na kutafiti vitu na hii ndio sifa inayotufanya nchi zingine zipige hatua kimaendeleo kila siku wakati sis tupo pale pale kwa sababu sisi tumekaa kueneza majungu tu, mtumishi wa Mungu ambaye unasema amepoteza mvuto anapata mialiko ya kwenda kuhubiri mahali kama Toronto, Canada atakapohubiri June hii na waimbaji maarufu duniani kama Don moen na krystaal, angalia hapa https://bishopzacharykakobe.org/en/events/upcoming-events

Akisafiri kwenda katika mikutano ya injili anapokelewa kama Rais, Bishop Zachary Kakobe Grand Welcome in Zambia - YouTube ,
Revival in Burundi with Bishop Zachary Kakobe Pt 1/6 - YouTube, Bishop Kakobe statesman-like welcome in various nations - YouTube.

na mpaka wa marais wa nchi wanahudhuria mahubiri yake kama ilivyokuwa Burundi ambako Rais Pierre Nkurunziza alihudhuria katika moja ya mahubiri ya Askofu Kakobe alipofanya ziara ya mikutano ya injili, Revival in Burundi with Bishop Zachary Kakobe Pt 2/6 - YouTube ,Bishop Zachary Kakobe meets Former President of Zambia - YouTube, Bp. Kakobe meets DRC Provincial Governor Moise Katumbi - YouTube

Lakini kubwa zaidi maelfu ya watu wanahuduhuria mikutano hii injili wanasikia neno la Mungu la kuwaongoza kuishi maisha ya usafi na utakatifu mbali na dhambi na maelfu wanaokoka na kuwa mbali na dhambi na kuwa na nafasi ya kwenda mbinguni. achilia wale wanaoponywa na mahangaiko ya kila namna, angalia hapa Gentiles obey the Gospel by deed in Bp. Kakobe Crusades - YouTube , Bishop Kakobe's unprecedented Crusade in Lubumbashi-DRC - YouTube. Bishop Zachary Kakobe's unprecedented Crusade in Zambia - YouTube.

Kama ungekuwa umefanya utafiti kidogo tu wa kuangalia hizi video na kutenga hata jumapili moja ukaenda kanisani Mwenge, usingesema amepoteza mvuto.Kama amepoteza mvuto atakuwa amepoteza mvuto kwako wewe mwenye roho ya mpinga Kristo na wengine kama wewe wasiopenda Jina kuu kuliko majina yote la YESU KRISTO lihubiriwe na Askofu Kakobe na wote wanaopenda kudakia maneno ya mitaani bila kufanya utafiti wowote na kujua ukweli ni upi na uongo ni upi. No research no right to speak.kama una roho wa Mungu, muhubiri yeyote anayehubiri habari njema za injili ili watu waache dhambi ungemuunga mkono badala ya kueneza majungu juu yake.

Mbona povu limekutoka hivi..Naona waumini wake mmechachamaa...
 
Naona unajitahidi sana kutetea uongo. Kumbuka kanisa ni mali yake lile (kwa mujibu wa dicuments za usajiri). Sitashangaa baadaye kusikia hata wewe ni mali yake kwani you are a product of his investment. Endelea kupumbazwa. Hata hivyo, nakushukuru kuona mara hii umeachana na neno Baba kwani Baba yetu, kama tulivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo, ni mmoja tu na yuko mbinguni.

Huyo ESAM naona ana kichwa ngumu...Sijui kama atakuwa kakelewa...Huyu anaweza akanywa sumu siku akisika Kakobe kafa.n
 
Last edited by a moderator:
Mbona povu limekutoka hivi..Naona waumini wake mmechachamaa...

Ndugu yangu umeuliza swali na umejibiwa na evidences halafu, tatizo liko wapi au kuwa muumini wa kanisa ambalo mtumishi wa Mungu anahubiri watu kuacha dhambi imekuwa kosa? hii inadhihirisha ni roho ya ibilisi inayotenda kazi ndani yako, Kama Bwana Yesu alivyosema pale msalabani Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.
 
binafsi nilisoma hard copy version ya the Citizen on sunday na heading ilikuwa "MYSTERY AS KAKOBE VANISHES FROM DAR" Niliisoma habari yote napata shida kuamini kama kilichoandikwa hakina ukweli maana mwandishi inaonekana alitumia muda wake mwingi tu kuandaa ile story. Kuna sehemu anaeleza kuwa amewahoji hadi majirani wa Kakobe nyumbani kwake tena kawataja hao majirani kwa majina! nao wanakiri ni muda mrefu hawajamuona Kakobe na kueleza uwepo wa anonymous hapo nyumbani anayefanya housewarming (sic) na huonekana nyakati za magharibi tu. It's really flabbergasting to hear your version of story ESAM,are the citizen that unprofessional? watakaoenda kanisani jumapili ijayo(nje ya wanaoonekana pro-Kakobe kwenye thread hii) waje hapa kutupa ukweli wa mambo tafadhali

Mwendakulima, ingekuwa vizuri na wewe pia ukaenda ili iwe rahisi na wewe pia kuripoti na kujionea kwa macho yako, ili ijulikane ukweli ni upi na uongo ni upi , badala ya kusikia tena kwa watu wengine. kathibitishe mwenyewe. halafu uje na taarifa hapa jamvini
 
Ndugu yangu umeuliza swali na umejibiwa na evidences halafu, tatizo liko wapi au kuwa muumini wa kanisa ambalo mtumishi wa Mungu anahubiri watu kuacha dhambi imekuwa kosa? hii inadhihirisha ni roho ya ibilisi inayotenda kazi ndani yako, Kama Bwana Yesu alivyosema pale msalabani Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.

Yani umejiunga jana jana kuja kujibu post hii...Kakobe acha hizo bana...Waumini wako wamekukimbia ati..Kama wewe kweli ni Mchungaji mbona kondoo wako wanakikimbia kila uchwao....Mchungaji mwema ni yule anaye-keep his Flock alive....Sasa wewe naona laana za ubadhirifu na ufisadi zonakumaliza...Na bado kondoo wote watapukutika.....

Kakobe katubu kwa Mungu wako akusamehe dhambi hiyo ya Ufisadi itakutafuna milele...Kilio cha Wachungaji wale ambao wewe unawaita wabaya wako itakurudi na kukutafuna milele..

Any way nilitaka kusahau kitu hapa...
Karibu sana JF Kakobe..
 
Mtumishi wa Mungu hana muda wa kuja humu kujibizana na wavivu wa kufikiri na watu wenye akili finyu kama wewe. Nyie ni size yetu sisi. Yesu alisema vizuri juu ya watu kama wewe: "Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. ... hakusimama katika kweli kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo ... Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu." (Yohana 8:44-47).
 
Nasema hivi Mbele ya Mbingu na nchi...Kakobe dhambi ya UBADHIRIFU NA UFISADI itammaliza na kamwe haito muacha..Aende Magotini mbele za Mungu akaombe toba ya kweli na Aokoke.. Kilio cha wale Wachungaji kitammaliza..

Nakwambia hivi hata wewe kama umeshiriki dhambi hii pamoja na hao wenzako kula Sadaka za Waumini na kuwafisadi..Narudia dhambi hiyo itawamaliza mmoja baada ya mwingine...Msomfanyie Mungu dhihaka matapeli wakubwa nyie..
 
Hivi unamzungumzia mungu au Mungu?? Askofu Kakobe ni mtumishi wa Mungu aliye hai. Kama una uhakika na hicho unachoita UBADHIRIFU NA UFISADI hebu waeleze wanaJF kwa ufupi ulitokeaje. Yaani eleza fedha zinashughulikiwaje pale kanisani na mfumo mzima wa mambo ya fedha pale kanisani Mwenge. Baada ya hapo eleza mfumo wa fedha katika kanisa la FGBF Tanzania nzima, hapo ntajua naongea na mtu anayeelewa asemacho vinginevyo hizi ni kelele za chura.

Halafu jaribu kufuatilia hiyo kesi waliyofungua hao wahuni unaowaita wachungaji uone imeishia wapi?? Narudia tena: "Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. ... hakusimama katika kweli kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa huo ... Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu." (Yohana 8:44-47).

Hata hivyo hoja ya uzi huu ni kuhusu uongo na uzushi wa gazeti la The Citizen toleo la Aprili 7, 2013 kwamba Askofu Kakobe yuko Marekani, haya mengine mnayoleta hayahusiani na hoja ya uzi. Bado nasisitiza kuhusu habari hii The Citizen ni wazushi na wapotoshaji wakubwa.
 
Namzungumzia Mungu wa Isaka, Ibrahim na Yakobo..
Nawaambia tena nendeni mkatubu na Yesu atawasamehe..
 
Nakuhakikishia kabisa unayemzungumzia ni mungu mwingine, mungu wa dunia hii na mfalme wa uwezo wa anga, yaani shetani na ukiendelea kuamini uongo wake atakuzamisha kuzimu. Nakushauri utubu leo na kuokoka ili kuikimbia ghadhabu ya Mungu kabla hujachelewa
 
Simjui Mungu ninaye mzungumzia.....????Kwa vigezo gani vyako....? Namzungumzia Mungu ambaye hainui watumishi kuwaibia Waumini sadaka na kujinufaisha yeye na Familia yake pamoja na Vibara wake kama nyie..

Hakyanani nyie Mafisadi/Wabadhirifu/Matapeli Pamoja na mkuu wenu Kakobe dhambi mlioitenda, Kilio mlicho waliza Watanzania wa hali chini kwa utapeli wenu wa mabillioni hakika hamna tofauti na Wabadhirifu maccm....

Adhabu yenu ipo mmeandaliwa Jehanam ya moto...Kilio cha Watanzania kitawamaliza hakika...Mwambie Kakobe arudishe mabillioni aliyo yahifadhi huko Marekani na Atubu toba ya kweli....
Na wewe pia si umeshiriki kula dhulma pamoja na Kakobe hakika vilio vitawarudia...
 
Toa uthibitisho wa wizi na ubadhilifu wetu, kuhifadhi mabilioni Marekani au namna tunavyojinufaisha na sadaka na ni watanzania gani wa hali ya chini wanaotoa kilio dhidi yetu??? Mbona pale kanisani mtu anajiunga kwa hiari na anaondoka kwa hiari? Kuna aliyekwambia amelazimishwa kubaki pale?? Yaani huu uongo wa ibilisi ndo maana nakwambia huyo mungu wako ni mwingine kabisa wala sio Yehova

Mungu mwema akusamehe maana hujui utendalo, ungejua unavyosema uongo mzito namna hii ungetubu kwa machozi ili Mungu akusamehe dhambi ya uongo unayoitenda
 
Jamani jamani mnavyomshambulia baba wa watu hata bila uhakika wa hayo mnayosema mbona unachuma dhambi bila sababu? Baba wa watu yeye anachojali ni kazi ya Mungu tu lakini watu mnavyomsema daaa, Mungu anayemtumikia atampigania tu
 
Toa uthibitisho wa wizi na ubadhilifu wetu, kuhifadhi mabilioni Marekani au namna tunavyojinufaisha na sadaka na ni watanzania gani wa hali ya chini wanaotoa kilio dhidi yetu??? Mbona pale kanisani mtu anajiunga kwa hiari na anaondoka kwa hiari? Kuna aliyekwambia amelazimishwa kubaki pale?? Yaani huu uongo wa ibilisi ndo maana nakwambia huyo mungu wako ni mwingine kabisa wala sio Yehova

Mungu mwema akusamehe maana hujui utendalo, ungejua unavyosema uongo mzito namna hii ungetubu kwa machozi ili Mungu akusamehe dhambi ya uongo unayoitenda

Watanzania tumeshajua mbivu na mbichi..Tapeli anayetumia Jina la Yesu..
 
Matusi na kashfa za uongo dhidi ya mtumishi wa Mungu havisaidii lolote. Nimekutaka kama una uthibitisho wowote juu ya hayo unayosema uweke wazi, vinginevyo hayo ni maneno matupu. Na unashangaza kweli kumtukana mtu ambaye humjui na wala hajakukukosea jambo lolote. Kumbuka ni makosa makubwa kumnenea vibaya masihi wa Bwana
 
Yani umejiunga jana jana kuja kujibu post hii...Kakobe acha hizo bana...Waumini wako wamekukimbia ati..Kama wewe kweli ni Mchungaji mbona kondoo wako wanakikimbia kila uchwao....Mchungaji mwema ni yule anaye-keep his Flock alive....Sasa wewe naona laana za ubadhirifu na ufisadi zonakumaliza...Na bado kondoo wote watapukutika.....

Kakobe katubu kwa Mungu wako akusamehe dhambi hiyo ya Ufisadi itakutafuna milele...Kilio cha Wachungaji wale ambao wewe unawaita wabaya wako itakurudi na kukutafuna milele..

Any way nilitaka kusahau kitu hapa...
Karibu sana JF Kakobe..

Kakobe aje hapa wa nini? Sisi ndiyo saizi yenu! Wewe TEDO, ndoto zako pamoja na za "Wachungaji" hao wahuni za kulisambaratisha Kanisa la FGBF haziwezi KAMWE kufanikiwa (MATENDO 5:34-39). Acha kusikia
porojo za mitaani, njoo mwenyewe Mwenge Jumapili yoyote, uone tulivyojaa Kanisani! Habari za "ubadhirifu na ufisadi" wa Kakobe, ni uongo na uzushi tu wa mchana kweupe, ambao umeshindwa kutubabaisha sisi waumini. Masuala yote ya fedha, yako nuruni kwetu waumini, na tunayajua maisha ya kimaskini ya Kakobe, ndani na nje, ni mwaminifu na mtakatifu wa kuigwa. Tutaendelea kumwamini, na hakuna yeyote wa kutuyumbisha! Kama kweli waumini tungekuwa "tumeibiwa" sadaka zetu, tangu kesi ianze miaka miwili iliyopita, mngetuona tumejazana mahakamani na kuwa nyuma ya hao washitaki. Lakini kinyume chake, hao "wachungaji" wahuni waliofukuzwa Kanisani kwa wizi huko Mafinga, halafu wakamgeuzia kibao Kakobe, wamebaki mahakamani peke yao! Tumewapuuza wao na nyinyi mliowatuma. Kama ni kweli, walishindwa nini kuripoti Polisi, na Kakobe akatiwa ndani kwa kesi ya jinai? Badala yake, wanafungua madai!!!?? Huo ni uzushi wa watu wajinga ambao hawajui hata shilingi bilioni 14 zinafananaje!

Baada ya uzushi huo kushindwa kutubabaisha waumini, ndiyo mmebuni uongo na uzushi mwingine wa "Kakobe ametorokea Marekani, hayuko Kanisani kwa miezi sita!" Uzushi na uongo mwingine wa mchana kweupe! Mtawadanganya MAZUZU! Sisi waumini, Kakobe wetu tunaye Kanisani siku zote, hamuwezi kutudanganya, ni sawa na kuwadanganya watu kwamba siku hizi Jua haliko angani, "limetoroka", wakati watu hao wanaliona angani likiwamulikia! Biashara hiyo ni "biashara kichaa", tafuteni biashara nyingine nyinyi wahuni! Wa kutubu siyo Kakobe, ni wewe TEDO na wahuni wenzio, pamoja na Gazeti la CITIZEN! SHAME ON YOU CITIZEN!!!
 
Kazi yako ni njema mtumishi wa Mungu Gumegume, ubarikiwe na Bwana
 
Hahaha you have made my day gumegume stay blessed sir
 
TEDO, where are you? UMETOROKEA WAPI? I'm anxiously waiting for you! Msione tunavaa vilemba, mkafikiri sisi ni mazuzu! Tuna akili, na tumesoma kuliko nyinyi; ndiyo maana tumepuuza mikorogo, na "we are proudly African", ndiyo maana hatutaki kuvaa nywele za maiti!
 
Back
Top Bottom