KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
Usilete Udini jibu hoja .Mbona povu limekutoka hivi..Naona waumini wake mmechachamaa...
Kama unaleta udini mshabikie Kiongozi wako!!!
Usilete Udini jibu hoja .Mbona povu limekutoka hivi..Naona waumini wake mmechachamaa...
Hiyo dhambi ya Ufisadi ita mwacha kikwete na wewe ????Nasema hivi Mbele ya Mbingu na nchi...Kakobe dhambi ya UBADHIRIFU NA UFISADI itammaliza na kamwe haito muacha..Aende Magotini mbele za Mungu akaombe toba ya kweli na Aokoke.. Kilio cha wale Wachungaji kitammaliza..
Nakwambia hivi hata wewe kama umeshiriki dhambi hii pamoja na hao wenzako kula Sadaka za Waumini na kuwafisadi..Narudia dhambi hiyo itawamaliza mmoja baada ya mwingine...Msomfanyie Mungu dhihaka matapeli wakubwa nyie..
Kafir mkubwa ww
Kafir mkubwa ww
Waumini wa kakobe mkiwa nje ya nchi au mahala ambapo kanisa la kakobe halipo huwa mnasali wapi?
Kweli kabisa! Hata mimi jana Jumapili 14.4.13 nilikwenda Kanisa la FGBF kule Mwenge. Uongo wa gazeti la CITIZEN umedhihirika, wamevuliwa nguo hadharani! Kumbe gazeti la CITIZEN siku hizi nalo limekuwa gazeti la udaku! Kakobe alikuweko Kanisani, na alikuwa amevaa suti ya rangi ya kijivu, na shati ya rangi ya "violet". Somo alilofundisha jana "AKIBA YA MAOMBI" lilikuwa somo la pili katika mfululizo wa masomo yanayohusu maombi. Alianza kwa kusema "Jumapili iliyopita kwa wale waliokuwepo, tulijifunza somo "MWOMBAJI MPAMBANAJI". Leo tunaendelea na somo la pili." Mwisho wa ibada, kaseti za masomo hayo yote ziliuzwa, na ninazo. Nilikuwa nina shauku ya kusikia kama Askofu Kakobe atalizungumzia gazeti la CITIZEN, hata hivyo hakulizungumzia kabisa, alilipuuza. NI AIBU KUBWA KWA CITIZEN!
Kweli the citizenwaliandika udaku, mimi jana nilifika kanisani kwa Kakobe pale Mwenge karibu na Mlimani City Mall. Kakobe yupo na jana alipanda madhabahuni kuanzia saa 7 karibu na nusu mpaka saa 11 hivi. Alifundisha somo lililokuwa na kichwa: AKIBA YA MAOMBI. Hili somo lilinibariki sana, ambao hamkuwepo mlikosa kitu kizuri hasa kwa wale wenye mpango wa kuingia mbinguni.
Jana alionekana mwenye furaha sana kutokana na jinsi waamini wanavyojitolea kuombea mkutano mkubwa wa injili atakaoufanya kule Toronto Canada Juni 20-23, 2013. Kwa ufupi nasikitika sana Tanzania hatuna magazeti makini tuna waandishi makanjanja tu.
Wow' at last siku ya jumapili imefika leo tunakwenda kuthibitisha kuwa waandishi wa Tanzania asilimia
kubwa sasa ni makanjanja na leo tunathibitisha kuwa The citizen sawa na Kiu na yale ya Eric,tunasubiria
muda ufike tuone kama Kakobe leo yupo hapa kanisani au la.Stay tuned'
Hiyo dhambi ya Ufisadi ita mwacha kikwete na wewe ????
Japo hutuna ushahidi na Ufisadi wa Kakobe lakini tuna ushahidi wa Kikwete na wewe kuwa ni Mafisadi!!!
Angalia aliyongea marando akina Msacky na wewe munawasiliana na Mafisadi!!!
Waumini wa kakobe mkiwa nje ya nchi au mahala ambapo kanisa la kakobe halipo huwa mnasali wapi?
Kwa hiyo unajaribu kuhalalisha dhambi ya kakobe kwa kulinganisha na dhambi ya kikwete?!!!!....what a faithful follower!
Come up na ushaidi wa ufisadi wa Kakobe ndo uzungumze. Amewataja kina kikwete maana wao ufisadi wao uko dhahiri. Sasa wewe mmeshindwa kujua kama Askofu Kakobe yupo nchini na kila kila ibada yupo still unadhani unaweza kuwa na hoja kuwa nifisadi?
Unaweza kutuwekea financial report ya mwaka jana?
Nonsense! Huku ni kujaribu kuficha aibu ya kusema uongo kwamba Kakobe ametoroka wakati yuko! AIBU HIYO HAIFICHIKI! Sisi waumini tunaotoa sadaka, tayari tunaijua report hiyo na iko clean. Wewe "mtu baki" inakuhusu nini? Kabla ya kututaka tuiweke report hiyo hapa, kwanza tuwekee wewe hapa report ya Mchungaji au Sheikh wako, kinyume chake funga mdomo mpuuzi wewe!
Ukiskia mambo ya pesa mnasema NONSENSE!!!....kakobe unajilimbikizia mali kutokana na michango na sadaka za waumini, wewe ni mwizi tu kama wezi wengine! Hivi watu wa mungu nao wana matusi, "MPUUZI" ni wewe na waumini wako unaowaongopea na kuwanyonya, SHAME na ibada zako za kishetani!
Mwizi, amekuibia shilingi zako ngapi? Wewe ndiye shetani na mwizi mkubwa!
Mwizi, amekuibia shilingi zako ngapi? Wewe ndiye shetani na mwizi mkubwa!
Unaweza kutuwekea financial report ya mwaka jana?