capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Habari, Mkuu CapitalpoolNimejitahid saaana ila imefika hatua nashindwa kuelewa nini nakosa kupata furaha nayotaka. I have done every thing to make sure that I am not getting bored in life lakini wapi!
!
Pole sana mkuu.. nadhani kwangu ndio mbaya zaidi.Pole mkuu.. Wapo wengi design yako humu ikiwemo mimi
Sasa kaka naona tusaidiane kujadili vipi tunaipata hiyo amani ya ndani ndani huko,ni njia zipi za kutumia kuhakikisha tunapata amani hiyo mkuu?Habari, Mkuu Capitalpool
we're flying in the same Plane..
you know what bro, umekosa kitu kimoja tu kinachoitwa Inner Peace tu, yaani unategemea vitu vinavyokuzunguka vikupatie furaha kamwe haviwezi kukupatia furaha ya kudumu mkuu Thanks God una afford all your basic needs as you explained above.. Kaka tafuta inner peace utayaona maisha yalivyo mazuri though I never experienced Happy life..
Hii ni dawa sahihi, kupata the right person. Lakino shida hujitokeza. Mfano mimi siwezi kabisa attachments / commitments. Najia fika huyu ni mtu sahihi lakini ntampotezea tu after sometimeInatokea, ila once ukipata the right person wa hangout nae, utasahau yote haya. Nikutakie mapito mema mkuu.
Pole sana mkuu.. nadhani kwangu ndio mbaya zaidi.
But binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya wenzake hata kama yake yamemfika shingoni
Mkuu mimi ni muhanga wa hili jambo this time niko naandika thread kuhusu huichi kituSasa kaka naona tusaidiane kujadili vipi tunaipata hiyo amani ya ndani ndani huko,ni njia zipi za kutumia kuhakikisha tunapata amani hiyo mkuu?
Bado hujakutana na mtu sahihi. Keep moving...Hii ni dawa sahihi, kupata the right person. Lakino shida hujitokeza. Mfano mimi siwezi kabisa attachments / commitments. Najia fika huyu ni mtu sahihi lakini ntampotezea tu after sometime
Hiyo imenikuta sana enzi za ujana wangu,unamzimia mtoto mpaka unalia mwenyewe usiku lakini nilikuwa nafkiria nalishwa,navishwa na wazee nikimtongoza wakati sina mbele wala nyuma ntampeleka wapi?Hii ni dawa sahihi, kupata the right person. Lakino shida hujitokeza. Mfano mimi siwezi kabisa attachments / commitments. Najia fika huyu ni mtu sahihi lakini ntampotezea tu after sometime
Kwa hyo tuisubiri mkuuMkuu mimi ni muhanga wa hili jambo this time niko naandika thread kuhusu huichi kituView attachment 959095