100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,577
you dudes really ate good in your time....Yes, Mjita ni 5 ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️.
you dudes really ate good in your time....Yes, Mjita ni 5 ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️.
Mh labda kama the bold alikuwa na kaid kengine, ila najua mdakuzi alikuwa sio the bold. Sijui lakini unajua umbea nao unaweza kukupita usijue na kuna wanaojua mengi zaidiMbona sasa mnanichanganya wambea wenzangu?
Mdakuzi ni nani?
Mbona huyo muungwana mgagaa na upwa anadai ni yeye mdakuzi ndio The bold..!!
Huo mtaji nautoa wapi?😅Weka mtaji ili uanze kupata kamisheni 😹😹
Kama 7 hivi😅Unapenda mademu umeshato.mba mademu wangapi wanaojielewa humu ? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo jumla ni wangapi? Maana huyo nae ni mpya😅Ni watu wawili tofauti hao....ila the Bold ndio Habib
Kwa hiyo hao the bold wapo wawili? Jumla wangapi sasa maana namba inazidi kuongezeka😅Mh labda kama the bold alikuwa na kaid kengine, ila najua mdakuzi alikuwa sio the bold. Sijui lakini unajua umbea nao unaweza kukupita usijue na kuna wanaojua mengi zaidi
Hadi ulitaka kuangusha article la kumsifia,huyo 100% alilamba,mimi ni mgagaa na upwa huyo sungura hata simjui 😄,au sungura ndio aliandaliwa makala machale yakakucheza 😄Hakulamba bana 😹😹
Ila wewe sio kaka sungura kweli? 😹
Kitambo sijamuona mzee wa ma PDF
ramli chonganishi zinaniambia ni kokochanel..Yes, Mjita ni 5 ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️.
Halafu mwenyewe huwa anapita humu anacheka tu [yes, najua unapita humu😉].
Udalali kwani umeacha? 😹Huo mtaji nautoa wapi?😅
😹😹😹 Ilibaki kidogo alambe ana ushawishi sana..!!Hadi ulitaka kuangusha article la kumsifia,huyo 100% alilamba,mimi ni mgagaa na upwa huyo sungura hata simjui 😄,au sungura ndio aliandaliwa makala machale yakakucheza 😄
Bichwa KOMWE ni ya Maghayo The Mongolian Savage usitafute ugomvi na Ghayos Mongolian Gang mkuuIsije ikawa umedata na bichwa komwe, mseme wazi ni nani ili watu wakusaidie😅
Nah, siyo Coco.ramli chonganishi zinaniambia ni kokochanel..
kama sio huyo basi itakuwa simfahamu..
maana nasikia kokochanel ni bonge la pisi kali...
Mkuu kwani Countrywide ndio Niki kweli ?Niki wa pili inakuwaje mzee?
😁😁Mkuu kwani Countrywide ndio Niki kweli ?
Napata mashaka jinsi jamaa anavyomsifia Niki , naanza kuamini kama sio mwenyewe basi ni chawa wake , ndugu , mtu wa karibu au mwenye maslahi nae.Mheshimiwa Nikki wa pili..
Mkuu wa Wilaya Nikki wa Pili aaga Kisarawe, aacha historia kubwa. Viongozi wenzake wamlilia
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Huyo muungwana alishindwa kutuwakilisha vyema kama ni kweli hajalamba 😄,ngoja nichukue nafasi ya sungura kama vipi baadae baadae labda nami nitakua muungwana 😄😹😹😹 Ilibaki kidogo alambe ana ushawishi sana..!!
Alijua kuniteka niliacha hadi uwinga nikaanza kumfatilia yeye..!!
Sungura hapana ni mwanangu sana namuheshimu km kaka mkubwa..!!
Nilijua ni wewe labda kwa vile sijamuona kitambo..!! 😊
amefuta baada kuuweka uzi wake hapa 🤣🤣Napata mashaka jinsi jamaa anavyomsifia Niki , naanza kuamini kama sio mwenyewe basi ni chawa wake , ndugu , mtu wa karibu au mwenye maslahi nae.
Maana hiyo loyalty sio ya kawaida , huo Uzi Yale maneno yamefutwa imebaki picha tu , aisee kweli Jf ina majasusi wa mchongo.
Ila I wonder why Nikki na superstar wake na pesa ahangaike na mademu wa Jf ambao hawajulikani na kuhangaika kubishana humu wakati anaweza opoa pisi kwengineko kwa uharisi na kuwa na connection na watoto wakali kutokana na Ustar wake ?
Hii ☝️☝️ imekaaje Kijasusi enyi majajusi na wabobezi wa mambo ?
Kufuta post dalili tosha kuwa jamaa mgaigai , tapeli na sio wa kuaminika na mtu wa kumtilia mashaka .amefuta baada kuuweka uzi wake hapa 🤣🤣
ni tapeli mmoja alietaka kuaminisha wadau humu yeye ni Nikki ili kusudi aopoe pisi kwa wepesi..🤣🤣