Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,584
- 95,233
Humu kukaa kimasta 😹😹Nimecheka khaa 🤣🤣🤣🤣
Humu kukaa kimasta 😹😹Nimecheka khaa 🤣🤣🤣🤣
Achana na mimi ms3ng3 wewe...Hii imeenda aisee😅
Sema hapo na wewe kiujanja ujanja unamvizia nifah akuone upo powa
Ofisi sijawahi pata hata mia si bora niibe😅Kwahiyo unaibia ofisi? 😹
Hilo hakiwezekaniki😅Achana na mimi ms3ng3 wewe...
Punguza shobo na kufuatilia maisha ya wanawake humu...
wanaume humu hawana mambo ya kishoga kufuatilia wanawake walio na mahusiano yao...
View attachment 3469223
Umeongea point sana😅Wivu wa nini sasa?
Saa ingine watu huwa wanaongea mambo kwa mazoea tu.
Sioni cha kukionea wivu hapo 🤣.
Dumpster…..
Weka mtaji ili uanze kupata kamisheni 😹😹Ofisi sijawahi pata hata mia si bora niibe😅
Unapenda mademu umeshato.mba mademu wangapi wanaojielewa humu ? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hilo hakiwezekaniki😅
Haya ni moja ya majukumu yangu, mm napenda mademu kwa hiyo lazima niwafatilie, utaumwa moyo bure relax😅
Forex ya ontario,ofisi yao ilikua msasani nadhani,watu walipigwa pesa kinoma huko,na ndicho kilichofanya the bold apotee humukazi iliwaunga couple ya B na N wakawa kwenye ofisi hizo, eeeh mbona na picha zao walirusha wenyewe enzi za kusaka wateja ya biashara
Shit….ngoja niorodheshe wa kwangu.Unapenda mademu umeshato.mba mademu wangapi wanaojielewa humu ? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
The bold ndio habib hanga,humu alikua anatumia the bold ila baada ya zile story zake za udakuzi kutick akaamua awe anaziprint na kuziuza kwa vitabu,hapo akawa hana jinsi ndio akaanza kutumia jina lake halisiKwahiyo Nifah alikuwa na mahusiano na wanaume wangapi humu? 😥
Kuna huyu mwenye uzi THE BOLD
Halafu kuna yule aliyekuwa anamtaja kila uzi wa mapenzi kwamba hasikii wala haoni anamuita B kwenye username yake humu anafahamaika km MDAKUZI
Sasa sikuwahi kujua km na Sir Jeff ONTARIO naye alikuwa wake?? 😹😹😹
Mapenzi ya JF kiboko watu wanakata mti na kupanda mti humu humu..!!
Ila huyo muungwana alilamba hapo ndio pazuriKuna siku niliandaa bonge la uzi kumuhusu muungwana mmoja humu, mizimu ya kikinga ikanikataza kwa nguvu zote..!! 😹😹
Saa hii ningekua nafukuliwa kaburi langu kwa tingatinga mana sululu lingewachelewesha..!! 🤣🤣😹
Mbona Nifah alikanusha mdakuzi sio The bold.The bold ndio habib hanga,humu alikua anatumia the bold ila baada ya zile story zake za udakuzi kutick akaamua awe anaziprint na kuziuza kwa vitabu,hapo akawa hana jinsi ndio akaanza kutumia jina lake halisi
Ndie mwenyewe,alikataa tu kulinda brandMbona Nifah alikanusha mdakuzi sio The bold.
Hakulamba bana 😹😹Ila huyo muungwana alilamba hapo ndio pazuri
Shit….ngoja niorodheshe wa kwangu.
Mjita [the best I ever had].
Mhaya.
Mnyamwezi.
Mchana.
Mngoni.
Mwarabu.
Mkenya [kutoka Mombasa].
Etc….




Ni watu wawili tofauti hao....ila the Bold ndio HabibMbona Nifah alikanusha mdakuzi sio The bold.
Kumbe? 😹Ndie mwenyewe,alikataa tu kulinda brand
Yes, Mjita ni 5 ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️ ⭐️.
Kaka umetisha ...
Sema huyo mjita inaonekana alikuwa na cha ziada hadi kumuwekea mabano na kusema ,the best I ever had,
Mbona sasa mnanichanganya wambea wenzangu?Ni watu wawili tofauti hao....ila the Bold ndio Habib