The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Nifah atakua kakaa sehemu anawachora tu, siku ukijichanganya imekula kwako😅😅
Nifah ni jasusi ni mkorea mwenzangu 😀, ni pure GoJoseon ukiwa MGojoseon lazima ufunzwe muda gani wa kuachia makombora na muda gani wa kukaa kimya , muda gani wa kumuingiza adui kwenye mtego na muda gani Kuretreat.

Muda mwingine unaacha adui amalize silaha zake zote sababu Kuna wakati unaweza ukajibu halafu ukajingiza kwenye misumari ya moto vita ikakuheleme
 
Hii imeenda aisee😅
 
Back
Top Bottom