cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,899
- 78,944
Huyu nifah kama Antonia tu aisee😅
Hadi sasa nimehesabu wapo watano
Nifah anajielewa sana as kila mtu alivyo,
alikuwa bonge la demu kwa Bold heshima tele tele pia kwa maneno yake.. na Bold uwiii ikawa unono haswaaa
hayo unasema kumuhesabia... nashangaa labda sijamsoma muda humu ila unamtakia nini tangu mwanzo.. amekukataa wewe eeeh. so acha kujipa moyo kutaka sikia eti kama kuna mabaya yake humu
Dada wa Kiba 🤣