The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Dada Coco na wewe hauna desa lako humu 😹😹😹

😂😂😂
Sina kabisaaaaaa dia
na sijawahi onana na mtu yoyote humu eti kujuana hapanaaaa

sio hawaji inbobo wanakuja ndio hadi kesho hawakosi

inbobo hata mahaba chati sina muda nao kabisaa.. wananyamaza pia mwishowe.
wengine huja kubipu tena olaaa..

inbobo nitachati na niliowazoea kwa threads au wakujadili kitu chochote ikitokea jenero tu
 
Kala kitengo ss hivi utamwambia nini, kaacha kucheza na masufuria anapigwa na upepo golini 😹😹😹
Yule kumuibia rahisi sana, ngoja niwapange wanangu fulani hivi waende kumuingiza mjini, tunasafisha duka lote😅
 
😂😂😂
Sina kabisaaaaaa dia
na sijawahi onana na mtu yoyote humu eti kujuana hapanaaaa

sio hawaji inbobo wanakuja ndio hadi kesho hawakosi

inbobo hata mahaba chati sina muda nao kabisaa.. wananyamaza pia mwishowe.
wengine huja kubipu tena olaaa..

inbobo nitachati na niliowazoea kwa threads au wakujadili kitu chochote ikitokea jenero tu
Dada coco waruhusu waungwana wakupeleke Mars 😹😹

Tatizo la JF unaweza kuona id nyingi zinakutongoza kumbe ni mtu mmoja anakulia timing aje kukuanika 😹😹
 
Coco Incognito.

Ngabu na Coco…..hahahaa.

Hawajui tu. Siku wakija kujua….
 
Dada coco waruhusu waungwana wakupeleke Mars 😹😹

Tatizo la JF unaweza kuona id nyingi zinakutongoza kumbe ni mtu mmoja anakulia timing aje kukuanika 😹😹
Nimecheka khaa 🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom