Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,595
- 95,263
Sir Jef naye alishika shavu la Nifer 😹😹Ofisi ya Forex yule ya jamaa alikuwa anaitwa Ontario kama sikosei ndio bidada alikuwa anafanya kazi huko na picha alikuwa anapost sana kutafuta wateja. mengine ongezea kwa dots....maana nyuki hawakawii kuja kung'ata kwa makundi humu Lamomy
Si mke wa B yule mdakuzi sijui, sema wambea mnaongea kwa codes sana..!!
Hebu mwageni ubuyu vizuri..!!