Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,302
- 33,634
Mmeufukua tena huu uzi
Hongera😂😂😂😂😂 kabla ya kujua kutumia 111 nilipitwa aseee,, nipo nafanya review ya comment tu hapa
ndio napitia moja baada ya nyingine labda naweza kuokota mawili matatu yakanisaidia,,,Hongera
Umejipanga Sana Unapitia Moja Moja
Hawa Watu Wakati Wao Walikuwa Wa Moto Sana JF
Duhh kumbe haya mambo yapo kweli🤔Hata najua basi Seran huku mlipita wanetu si ndio?
We binti nitakufungia safari ujue😂😂Hata najua basi Seran huku mlipita wanetu si ndio?
jibu swali kwanza mahiiii🤭We binti nitakufungia safari ujue😂😂
mi mwenyewe nimeshangaa lol😪Duhh kumbe haya mambo yapo kweli🤔
Nitafute chimbo langu la kipekee nianzishiwe nyuuzzz.. 💃🏽mi mwenyewe nimeshangaa lol😪
Sina cha kujibu mie 😂jibu swali kwanza mahiiii🤭
😂😂😂 hili ndo chimbo lenyewe,,, inaonekana nyuzi za zamani zilikua vereee hot,, sikuhizi vijana wamejaa uogaNitafute chimbo langu la kipekee nianzishiwe nyuuzzz.. 💃🏽
go and re-read😇Sina cha kujibu mie 😂
Kwanza uliulizaje?
Saafi👍go and re-read😇
Wana tamaa sana kijana mmoja anataka madem wote wa jf inakuwa ngumuu!! 😅😂😂😂 hili ndo chimbo lenyewe,,, inaonekana nyuzi za zamani zilikua vereee hot,, sikuhizi vijana wamejaa uoga
umefanya nimepaliwa na mate,,, hovyo sana alf hapo unaweza kukuta anajidai vere innocent😄😄😄 na kuwasema wengine vibaya,,,, madako yaoWana tamaa sana kijana mmoja anataka madem wote wa jf inakuwa ngumuu!! 😅