The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Tunaenda zetu mars nimedata mno ngoja nianze nyuzi za kusifu na kupambia kama za bibi. Nipo hapa najifunza kwanza nyimbo za kingereza za kujazia jazia nyama
Kuna siku niliandaa bonge la uzi kumuhusu muungwana mmoja humu, mizimu ya kikinga ikanikataza kwa nguvu zote..!! 😹😹

Saa hii ningekua nafukuliwa kaburi langu kwa tingatinga mana sululu lingewachelewesha..!! 🤣🤣😹
 
Mhhhhh
unampenda? endelea aisee

Mimi nimeandika y haujaelewa hadi kuuliza hivyo!!!!!!!!!!!!!!
sasa unakosa vijiswali kizaidi.. nilikujibu tu kama basi tu now
na nilihisi utarudi na hautaki kusechi.. kasechi au muulize si bado yumo humu.
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kusoma na kuelewa ulichoandika lakini nimeshindwa. Wewe mwenyewe soma tena ulichoandika hapo alafu uone kama utaelewa
 
Ndio hiyo hiyo, kwani si ilikuwepo ofisi kabisa watu walikuwa wanaenda kwenye training. Hadi wafanyakazi waliajiriwa wengi tuu.
Umesaidia kufanya nielewe kwa urahisi. Nilikua najua ni ya Ontario tu, kumbe kulikua na maharamia wengine😅
 
Mimi ndio kwanza nipo sayari ya pili Venus😅

Unajua kabla sijaanzaga kukupenda kipindi kile, Kuna mtoto mmoja humu nilikuaga namlia timing. Sema kuna siku nae ikafumuka post ya hivi ya kitambo, nikajikuta nimeghari haraka sana😅
😹😹😹 Waungwana mnajilipua sana..!!
Lakini yanazungumzika hakuna mkamilifu endeleza harakati ya kulifatilia goma hilo..!!
 
Coco…..happy Wednesday!

Unajua nilikuwa sija pay attention hata kidogo.

Kumbe na wewe ni wa zamani humu. Toka 2007.

😀 Nawe pia

oooh kumbe, ukaona namwagika kidunchu ya nyuma eeh ukanicheki..:LoveBlush:

nilianza kuisoma pia 2006 nikifikiri ya wakenya..
nikawa siingii kivileee.. 2007 nikaanza na kuona mengi ya TZ ndio nikajiunga.

Nimo nimejaa tele tangu na 0 ban.
Mola ametupa maisha hadi leo, wengi wamefariki.
May their souls continue to R.I.E.P.
 
Kuna siku niliandaa bonge la uzi kumuhusu muungwana mmoja humu, mizimu ya kikinga ikanikataza kwa nguvu zote..!! 😹😹

Saa hii ningekua nafukuliwa kaburi langu kwa tingatinga mana sululu lingewachelewesha..!! 🤣🤣😹
Katika kitu siwezi kufanya ni hicho aisee tupendane tuu huko humu kama hatujuani, kuna nyuzi huwa natamani kumtag ila nikikumbuka raia wanaconnect dots naishia kuzishare whatsap tuu....

Bora mizimu ya akina segito iendelee kutukataza maana ni huzuni
 
Usijaribu utaaibika ndugu yangu..!!
Wanaume wa humu km bahari wengine wanaoga kawe, wengine bagamoyo na wengine kigamboni..!!

Jimalize likukute jambo, si unakumbuka Mrs none alivyotupa ubuyu alitaka kuliwa na Miongozo na washaplan pa kukutania..!!
Na hapo walipangwa km kijiji 😹😹😹
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom