The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Ongeza nyama kidogo sijaelewa kazi gani

sasa kama ID nimesahau naongezaje, ningekutumia link. saka juu ya forex etc na aliyewachota wengii money talks na walioenda hizo ofisi utapata tu... JF burudani waifungue tuburudike... 😂 😂

kuna urahisi mwingi humu kupata posts au threads za ID unataka ichimbua usome ya kale
 
Hiyo biashara ya forex money talks ilikua ya nifah?
 
Yani wamatumbi ukisema naishi vizuri nakula vizuri natembelea magari mazuri , wanatoka povu kinouma , ila sema una umwa , maisha yamekupiga , utasikia pole omba Mungu mambo yakataa poa tu, hawa viazi ni wanafki kinouma 🚮
Hata km mnaongea uongo tukubali 😹😹😹

Mwenye maisha mazuri hajisifii bwana weeh
 
Ila CELEB na MMU zilikuwa mie na sie wasomaji turiburudika sana :CATROLL::CatCar:... story zilikuwa nyingiiii na ushabiki wa timu ya fulani na fulani na nyinginezoooo

fukueni tu makaburi mburudike na historia ya JF 😀
Coco…..happy Wednesday!

Unajua nilikuwa sija pay attention hata kidogo.

Kumbe na wewe ni wa zamani humu. Toka 2007.
 
Sasa km hajapiga si angeonekana bwege nyuzi lote hili..!! 😹😹😹

Haya masijala una la kuongezea?
Mrs none kitengo chako hiki na mwenzio cocastic mbona mnaleta uzembe kazini? 😹
Sema wahenga walikuwa wanajimaliza sana na nyuzi ndeeefu.
Mwenyewe muda sio mrefu nakuja na jinyuzi langu kuna mkaka kanichanganya mno humu nahisi atakuwa ndio " my forever" tukatalii sayari ya Mars huko🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom