Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,996
What pick up line worked or didn't work for you?
sredi siielewi
Hata mie siielewi
Dada wee siku hizi kuna zile simu za 'Say a name" huna haja ya kuhangaika kutafuta namba ya mtu we unaiinamia then unataja jina au wengine katika kutaja balaa tupu----- hadi simu inajaa mijimimate.MJ1 kaelewa na keshasema pick upline yake inayomkwaza....hahaaaaa!!
hili s jukwaa la MMU?? CHEMSHENI MBONGO ZENU HAPO
What pick up line worked or didn't work for you?
bora bwana!tuwe wengi kidogo...!maanake mii mtu anapozungumzia MITANDAO NA LINES HUWA NAFIKA MBALI MNO hadi nafikia mahala naamini SIJAELEWA!tatizo mwanakijiji anaona wote tumezaliwa kipindi kile cha nzige wengi ..
au wakati wa vita vya maumau
sredi siielewi pia
Dada wee siku hizi kuna zile simu za 'Say a name" huna haja ya kuhangaika kutafuta namba ya mtu we unaiinamia then unataja jina au wengine katika kutaja balaa tupu----- hadi simu inajaa mijimimate.
..."here's my number, call me anytime". Success rate 99.9%...
Hiyo 0.9% hata sikumbuki niliteleza wapi tu, ila walikuwa 'kuku wa kienyeji'
mhhh Ngoja kwanza au mie ndo nimechemka??hhaaaaawe naye siku hizi umekuja kuwaje kwani?? unanichekeshaa mno....
saidia wengine jukwaa limekuwa complicated!!!!
Ha ha ha Ingawa na mi ni wa enzi ya nzige hapa Mwanakijiji kaniacha!!What pick up line worked or didn't work for you?
kumbe mbu umeelewa haya sadia wengine kabla sijaleta neti na programu ya zinduka hapa......
mhhh Ngoja kwanza au mie ndo nimechemka??
Mwanakijiji si anazungumzia zile zinazokufanya uwe turned on au off? Maaaaama kama nimechemka mbona balaa
...haha...
~Maneno yawezayo mtoa nyoka pangoni au uliyog'atwa nayo!~
ukibonyeza HAPA!....mstari wa mwisho anadai anakwenda kulala!...sijui yupo wapi huyu