[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]'natamani hivi sasa ungekuwa unasoma msg yangu ya muamala wa M-PESA, Ila nasikitika sina namba yako ya simu mrembo..!'
hakuna pick-up line nzuri kwa kuokotea 'pisi' zaidi ya hiyo, Ahsante..!
Tumfikishie bibi yako huu ujumbe na muamala wa bank , si ndio?😅'natamani hivi sasa ungekuwa unasoma msg yangu ya muamala wa M-PESA, Ila nasikitika sina namba yako ya simu mrembo..!'
hakuna pick-up line nzuri kwa kuokotea 'pisi' zaidi ya hiyo, Ahsante..!
,😂 AiseeSisi tusio na pesa na hatuna swagger wala physical attraction ngoja tuendelee kukomaa na wale wanawake zetu sura imeandikwa Warning This face contains graphic content and may be upsetting you. Viewer discretion is advised, kwa maana pick up lines kwetu hazifanyi kazi kabisa. 🤣, Kikubwa pussy ni ile ile tu.
Mkuu,Tumfikishie bibi yako huu ujumbe na muamala wa bank , si ndio?😅
Oh pole sana rafiki,Mkuu,
Bibi zangu wote wawili wametangulia mbele ya haki tayari...
Ahsante.
#Aliyeiiba id hii airudishe haraka#'natamani hivi sasa ungekuwa unasoma msg yangu ya muamala wa M-PESA, Ila nasikitika sina namba yako ya simu mrembo..!'
hakuna pick-up line nzuri kwa kuokotea 'pisi' zaidi ya hiyo, Ahsante..!
Hata maisha ni ujinga ujingaUjinga ujinga tu
Miaka 26-30 ni umri wa kukosoa wengine, lawama nyingi na visingizio lukuki (huu pia ni umri halali kwa jela au kifungo, usipofungwa umri huo basi huko mbeleni hata ukija kupata kesi ni rahisi kuchomoa).Hata maisha ni ujinga ujinga
Tulia kijana, kama hujui ni kwamba ujinga ujinga kwa lugha nyingine huitwa starehe.Miaka 26-30 ni umri wa kukosoa wengine, lawama nyingi na visingizio lukuki (huu pia ni umri halali kwa jela au kifungo, usipofungwa umri huo basi huko mbeleni hata ukija kupata kesi ni rahisi kuchomoa).
SawaTulia kijana, kama hujui ni kwamba ujinga ujinga kwa lugha nyingine huitwa starehe.
Waza kwa kutulia utanielewa tu
Sio mbaya tukikubaliana kwa kutokukubaliana mkuuSawa
Utoto mwingi....🤓🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌Sio mbaya tukikubaliana kwa kutokukubaliana mkuu