The best pick up line?

The out-dated landline phones where one has to use his fingers to dial. Some people to not know how to dial properly mwanakijiji. I hate that
 
tatizo mwanakijiji anaona wote tumezaliwa kipindi kile cha nzige wengi ..
au wakati wa vita vya maumau
sredi siielewi pia
 
MJ1 kaelewa na keshasema pick upline yake inayomkwaza....hahaaaaa!!
hili s jukwaa la MMU?? CHEMSHENI MBONGO ZENU HAPO
Dada wee siku hizi kuna zile simu za 'Say a name" huna haja ya kuhangaika kutafuta namba ya mtu we unaiinamia then unataja jina au wengine katika kutaja balaa tupu----- hadi simu inajaa mijimimate.
 
tatizo mwanakijiji anaona wote tumezaliwa kipindi kile cha nzige wengi ..
au wakati wa vita vya maumau
sredi siielewi pia
bora bwana!tuwe wengi kidogo...!maanake mii mtu anapozungumzia MITANDAO NA LINES HUWA NAFIKA MBALI MNO hadi nafikia mahala naamini SIJAELEWA!
 
Dada wee siku hizi kuna zile simu za 'Say a name" huna haja ya kuhangaika kutafuta namba ya mtu we unaiinamia then unataja jina au wengine katika kutaja balaa tupu----- hadi simu inajaa mijimimate.

hhaaaaawe naye siku hizi umekuja kuwaje kwani?? unanichekeshaa mno....
saidia wengine jukwaa limekuwa complicated!!!!
 
..."here's my number, call me anytime". Success rate 99.9%...:D

Hiyo 0.9% hata sikumbuki niliteleza wapi tu, ila walikuwa 'kuku wa kienyeji'

kumbe mbu umeelewa haya sadia wengine kabla sijaleta neti na programu ya zinduka hapa......
 
hhaaaaawe naye siku hizi umekuja kuwaje kwani?? unanichekeshaa mno....
saidia wengine jukwaa limekuwa complicated!!!!
mhhh Ngoja kwanza au mie ndo nimechemka??

Mwanakijiji si anazungumzia zile zinazokufanya uwe turned on au off? Maaaaama kama nimechemka mbona balaa
 
kumbe mbu umeelewa haya sadia wengine kabla sijaleta neti na programu ya zinduka hapa......

...haha...

~Maneno yawezayo mtoa nyoka pangoni au uliyog'atwa nayo!~
 
Hey girl...you must be tired...why do you say that Julius? Coz you've been running through my mind a lot lately...
 
ukibonyeza HAPA!....mstari wa mwisho anadai anakwenda kulala!...sijui yupo wapi huyu

Nimesoma Geoff na hiyo ilikuwa ni saa (Today, 11:18 AM )
sijui yuko wapi huyu ngoja aamuke aje atujuze hi sredi yake iko mstari wa mbele kumaanisha nini lugha zingine bwana
sijui nimekwambia mie maimuna au ...misamiati gongana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom