The best pick up line?

The best pick up line?

Masaki (Today), unapenda mambo kama hayo!

Nani anapenda shida bana? Na mwaliko wa ''a cup of coffee'' ni lazima utakuwa kwenye sehemu za baridi, sio za joto kama Dar! Na unajua tena sehemu zenye baridi jinsi ngono zembe inavyonoga! 🙂
 
Oh baby...you are the needle in a haystack that I've been looking for my entire life

tchaaaaaaaaaaaaa sasa lingine mpaka niunganishe ya kwenye kamusi ya oxford!!!!
 
Mimi mwenzenu domo langu zito, kwa hiyo sina hata hizo ''best pick up lines''...........!!!

Mkuu hawa wa siku hizi wala mambo ya line hakuna tena...mbona kwa macho tu kimeeleweka?
 
Mkuu hawa wa siku hizi wala mambo ya line hakuna tena...mbona kwa macho tu kimeeleweka?

Au kule usukumani zipo zile za ''dada limoyo langu limekudodokea''..... 🙂
 
Nani anapenda shida bana? Na mwaliko wa ''a cup of coffee'' ni lazima utakuwa kwenye sehemu za baridi, sio za joto kama Dar! Na unajua tena sehemu zenye baridi jinsi ngono zembe inavyonoga! 🙂

aaaah mbona tena chombo kinaenda mrama...!!!

Mkuu hawa wa siku hizi wala mambo ya line hakuna tena...mbona kwa macho tu kimeeleweka?

hivi wa siku hiz ni wa kina nani hasa wewe B???
 
kwa daresalaaam. msichana mwambie nimewahi kukuona benki....
sijui kwa nini but huwa hii tricky inafanikiwa siku zote...
 
kwenye chagulaga mayu ndo mnawadanganya vibinti vya wenyewe........

actually natafuta nipate nafasi kushuhudia hiyo ngoma nasikia moto wa kuotea mbali!
 
B si unaona am not alone kwenye hili....na Masaki nimemwelewa sana tu B..huamini B wa ukweli? wapo sema kwa wewe huwezi kuwajua!

ndo unifahamishe ati!!!! au unataka nimtafute B wa ukweli mwingine basi anifafanulie zaidi.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom