Inawezekana, maana Washington ana visheria vyake kwenye acting. Kwenye filamu, Washington alimwoa Puerto Rico lakini hakuna mention yoyote ya wao kuwa na watoto. Lakini the real Frank Lucas alizaa nae mtoto wa kiume who is now a rapper (Franl Lucas Jr). Pia the real Frank Lucan alikuwa rafiki mkubwa wa baba yake na P Diddy. Sijui kama kwenye movie kuna hints zozote juu ya huu urafiki.
Alipohojiwa na MTV kuhusiana nah ii movie the real Frank Lucas alisema: "As far as I'm concerned, it was top-notch. The movie spoke a lot of truth, because when they shot scenes they would turn and ask me. They asked me a lot of questions. And I did the best of my abilities. The best way I could do it. But I guess they have to make a movie also. I wouldn't change anything. We might make another movie, I guess. We're just waiting to see what's going on. I really don't know what [the studio is] talking about. If I see the script and read it, maybe."
Hapo kwenye red speaks a lot. They had to make a movie and not to write a biography. Lakini incredible story ya Frank Lucas is the way he cut out of the Mafia kama akina John Gotti ambao ndio walikuwa wanadominate New York. Jamaa alitengeneza dola milioni moja kwa siku kwa kuuza dope. Na hiyo ilikuwa miaka ya 1960s.