AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
- Thread starter
- #41
Movie yake ya kwanza kuiona ni ile ya Steve Biko. Ni moja ya movies chache nzuri nilizoziona nikiwa kijana mdogo sekondari zikashape my thinking. Hata hivyo kuna nyingine I have forgotten the name, alikuwa kama bodyguard wa mtoto wa tajiri mmoja Mexico. That was also brilliant
Ndahani a movie like that I can only watch once na I remember every detail.... Nimeiangalia naona kama 7 years ago, but I still remember nililia pale walipopokea T-shirt yenye picha yake (Biko) kana kwamba za campaign alafu mtoto mmoja akavaa... hapo hapo akatoka vidonda mwili mzima.... Na sitakuja sahau pale mahakamani.... anapohojiwa.... Aliuzwa
Interrogator: Why do you call yourself black while you are brown?
Biko: Why do you call yourself white while you are quite pink?
I loved that part.... Hapo ndipo nilipomjua Biko, na ku reaserch kuhusu huyo mwanaharakati....