>*< The BEST Of Denzel Washington >*<

>*< The BEST Of Denzel Washington >*<

Hii habari ilinipita.... Ndio mambo gani haya??? That is so dirty....

And I like the guy soo much, na kumuweka nafasi ya baba tena mwenye busara....

Fikiria hadi wameamua kutangaza of getting married, watakua walianza sex siku nyiiiiingi huko nyuma....

Hii ndio Dunia na hayo ndio mambo waja wa dunia hii tunahangaika kuyafanya. sometimes ni ngumu sana kuyaelewa.
 
Guys mnaweza kutaja denzel washington bila kutaja "mississipi masala?" ukitaja hiyo maana yake umemtaja denzel. Halafu kuna kitu kinaitwa inside man cha akili vibaya sana. Kwenye pelham 123 mimi naona travolta alijirahisisha sana kwake ili denzel aonekane mshindi lakini kwa wote tunaomfahamu travolta huwa sio rahisi kivile. Kwenye siege nilipenda sana alivyoielezea vita ya ugaidi.

Kwenye Mississipi Masala... ni kama vile a warm up of other movies... Inside man waliipanga vizuri... Wale actors wengine wawili nawapenda mno (Clive Owen & Jodie Foster), hivo to me it is a great movie. Hio ya Pelham give the guy a credit bana.... mbona naona kama roles zao walizicheza vilivo? Ulitaka Travolta acheze kama kwenye Face Off? lol.... Nakubaliana na wewe kuhusu the Siege...

Wandugu najaribu lakini nashindwa kabisa kuangalia movie bila subtitle naona kama kuna maneno yatanipita. Naomba msaada wenu nifanye mazoezi gani ili niweze kumudu?

I think sio lazima saana kuweza angalia bila subtitle ama na subtile... It does not matter as long as you enjoy your self. Hata hivo kama you are determined ni ile tu kusikiliza kwa makini hasa... That is why mimi nikiwa naangalia movie mpya, nataka nilie nae awe makini na kweli afuatilie.... AMA Niwe peke yangu, no disturbances.... lol
 
Hii ndio Dunia na hayo ndio mambo waja wa dunia hii tunahangaika kuyafanya. sometimes ni ngumu sana kuyaelewa.

Inauma saana that Morals zinaenda zikishuka kwa kasi....

Sijui tunaelekea wapi... Only God knows that kwa kweli....

Good morning Ndahani....
 
Inauma saana that Morals zinaenda zikishuka kwa kasi....

Sijui tunaelekea wapi... Only God knows that kwa kweli....

Good morning Ndahani....
Am well thanks AD. Hope morning weather did not make you go late to work!
 
Denzel's Oscars remains the purest Oscar among those won by black actors and actress.He won his awards in roles that could be played convincingly by both whites and Blacks.
Mfano,roles za Whittaker kwenye The last King of Scotland na Jamie Fox zisingeweza kuchezwa na wazungu.
Mkuu umeiweka vyema sana

big up.... didnt think of it that way...:attention:
 
Kwenye Mississipi Masala... ni kama vile a warm up of other movies... Inside man waliipanga vizuri... Wale actors wengine wawili nawapenda mno (Clive Owen & Jodie Foster), hivo to me it is a great movie. Hio ya Pelham give the guy a credit bana.... mbona naona kama roles zao walizicheza vilivo? Ulitaka Travolta acheze kama kwenye Face Off? lol.... Nakubaliana na wewe kuhusu the Siege...

Mkuu si unamjua Travolta na tambo zake acha face off kwenye Sword Fish ndio aliniua sana na Broken Arrow. Lakini mimi nimeshindwa kuielewa DEVAVU!
 
sorry nilimaanisha DEJ'AVU
 
Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!

Mkuu hio muvi hata mie naikubali kinoma....OUT OF TIME kama hujaiona wadau hebu chekini jinsi mzee denzel alivyopigwa changa la macho na kidosho/hawara akatoroka na pesa za ushahidi za FBI...denzel kama afande wa polisi na mkewe anayedai talaka eva mendes akiwa kama mpelelezi....kinachofuata hapo tafuta muvi ujionee
 
Guys mnaweza kutaja denzel washington bila kutaja "mississipi masala?" ukitaja hiyo maana yake umemtaja denzel. Halafu kuna kitu kinaitwa inside man cha akili vibaya sana. Kwenye pelham 123 mimi naona travolta alijirahisisha sana kwake ili denzel aonekane mshindi lakini kwa wote tunaomfahamu travolta huwa sio rahisi kivile. Kwenye siege nilipenda sana alivyoielezea vita ya ugaidi.
bonge moja la POINT,denzel bado mchumba kwa travolta,Mx
 
Nimeamini kweli this is one of your BEST..lol.. Umeleta Godfellas Nimekumbuka the Discussion we had in a Thread ya Voice of Reason (I miss the guy); Boss, You and several others... na kila mtu alikubali kua hio ni one of the all time best gangster movie... Hapa hadi nimemmiss The Finest and Eqlypz.

Goodfellas is the best....that's gang'sta right from the scratch...the first word of the film from Ray Liota"As far back as I can remeber, I always wanted to be a gangster".....Love that movie!

Back to My hero Denzel, I remember this quote " A hungry negro steals a chicken he goes to jail, a rich businessman steals bonds and he goes to congress."That's from the great debators!
 
Mkuu hio muvi hata mie naikubali kinoma....OUT OF TIME kama hujaiona wadau hebu chekini jinsi mzee denzel alivyopigwa changa la macho na kidosho/hawara akatoroka na pesa za ushahidi za FBI...denzel kama afande wa polisi na mkewe anayedai talaka eva mendes akiwa kama mpelelezi....kinachofuata hapo tafuta muvi ujionee
Yeah naipenda sana Out of time. Halafu mwishoni anamalizia kwa kusema"that's what you get when you leave your wife"akimjibu jamaa kuhusu kilichotokea
 
Uhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!

Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.
 
Uhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!

Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.
Kama unapenda Science fiction angalia Dejavu. Btw film nyingi za Denzel zina family themes na sio zote ni actions. Angalia kwa mfano out of time,hapa unajifunza madhara ya kumwacha mke wako wa ndoa au mme wako wa ndoa bila sababu ya msingi na ikiwa bado mnapendana.Movie nyingi sana za Denzel ni Heroic lakini zina mafundisho sana.Angalia mbili tatu tu hivyo utaniambia. Anza na Mississipi masala lol
 
kuna mtu anafahamu picha za mogan freeman akiwa kijana? mimi nimeanza kumuona akiwa mzee tu.

Dah!! Hata mimi am interested hapa....

Mkuu si unamjua Travolta na tambo zake acha face off kwenye Sword Fish ndio aliniua sana na Broken Arrow. Lakini mimi nimeshindwa kuielewa DEVAVU!

Broken Arrow sio nzuri kivile... At least that is IMO....

DEJAVU Is a wonderful Movie.... Wonderful!! Kwanza inabidi uelewe kwanza Neno Deja vu Maanake nini ili kuweza connect them dots....

Deja vu - (French pronunciation: [de&#658;a vy] ( listen), literally "already seen") is the experience of feeling sure that one has already witnessed or experienced a current situation, even though the exact circumstances of the prior encounter are uncertain and were perhaps imagined.

Hio Movie.. inahusu an incidence ambayo inahusisha kulipuka kwa ile meli (if you remember) and a hundred of people die. However kubwa kuliko ni kua Intelligence force wamegundua njia ya kuweza angalia maisha masaa kadhaa nyuma kabla ya tukio. In which Denzel nae atahusishwa ili to get answers of whom exactly aliweza plant lile bomu mle. Kuna dada anakutwa ng'ambo ya ocean na wanachukulia for granted alikua washed away toka melini of which Denzel thru the Forensics anagundua kua alikufa kabla ya kutupwa humo majini kama kupoteza ushahidi. Hapo sasa that it where the story begins.... For sasa inaonekana the gal is the key to knowing the Killer na alo pandikiza bom melini. Ukipata tu hio utaona the way Denzel na ile Intellect crew wanafuatilia kila detail ya yule dada ambae ni marehemu tayari (ila kupitia ule ufumbuzi they can observe her as still alive); Hapo ndio Denzel atatafuta njia ya kuingia katika hio life ilio occur kabla ili kuhakikisha na kuweza bahatisha if indeed wanaweza okoa lile tukio iwe kama halijatokea....

Ni Movie ambayo inahitaji umakini na wewe kufuatilia what they are saying word to word.... Then you would enjoy it.

Sijui umenipata Mpinga?
 
Goodfellas is the best....that's gang'sta right from the scratch...the first word of the film from Ray Liota"As far back as I can remeber, I always wanted to be a gangster".....Love that movie!

Back to My hero Denzel, I remember this quote " A hungry negro steals a chicken he goes to jail, a rich businessman steals bonds and he goes to congress."That's from the great debators!

I completely agree to that... I am a fun of gangster movies.... I love that Men's crazy world of theirs....lol

I Love the qoute, Nilisha isahau....
 
Uhali gani mamaaaaa WOY!!!!!!

Bora umerudi huku kwenye movie.Uliwapendelea sana chit chat.
Bahati mbaya mie sipendi Actions hivo huwa simuangalii sana Denzel.Mie napenda Sci fic na family movies.

hahaha... Bora uwe unanikumbusha kumbusha kua ni WoY.... lol... Najisahau bana!

Lady on the move inakuaje upende Sci fic movies usipende action?? Maana hapa ina maana Ukiangalia "The Terminator" ya Arnold you are at home...lol Hata hivo Spit hapo kakushauri hizo picha, hata mimi ninge recommend hizo hizo... Do me a fav watch kati ya Deja Vu AMA Out of Time.... Believe me you you will love it.

Saizi nimehamia hapa... Saizi chit chat kumekamilika hasa!! Naomba uwe unakuja kuniunga mkono kama ulivofanya leo....lol
 
Back
Top Bottom