dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
Dazi Denzel na Travota woote hao ni Holly wood A-List Acters.... Sikubaliani na Analysis yako.... lol
Ok dada Asha ila Travota na mpenda sana,ila wote na wapenda,Mx
Dazi Denzel na Travota woote hao ni Holly wood A-List Acters.... Sikubaliani na Analysis yako.... lol
Safe house...
I love the twists and the thrills!
Ofcoz Mississipi Masala would always be on my top list for that is where I discovered Denzel.
kuna From paris with love,old dogs,wild hogs,face off na nyingine nyingi na mpenda sana mchizi cjui kwanini,MxHapo sawa....lol... Regards to wifi with love....
BTW Travolta movie gani wapenda??
kuna From paris with love,old dogs,wild hogs,face off na nyingine nyingi na mpenda sana mchizi cjui kwanini,Mx
hizo zote nimezicheki ziko vzr sana,MxJamaa ni mtaalamu wala sio utani... katika list yako hio ya Old dogs hapana (huku natikisa kwichwa side ways - Labda sababu napenda Action kwa upande wake...lol); Oneza zingine hapo Sword Fish, Pelham 123, Be cool & Get shorty, The Punisher.... Among a few....
hahahahaha kwenye scene nisikudanganye siwezi kueleza,hizo ushasema swagger so kila mtu ma swagger zake,MxHebu punguza hizo swagger na usema picha gani wapenda na scene gani hasa... then why... mxl..lol
DENZEL is not among of my favourite actors..... ingawaje ni actor mzuri sana
Nilikuwa na collections mbili za movies zake, niliipenda zaidi John Q na Mississip masala
MY best part zipo kama tatu hivi
Pale mkewe alipo mwambia u have to do something wakati jamaa hana option nyingine yoyote
Nyingine ni pale alipo sema I am not going to bury my son, but is my son who going to bury me
Na mwisho pamoja vurugu zote zile za utekaji alinimaliza pale alipo waambia watekaji wake kuwa bastola haikuwa na risasi na aka load risasi moja tu aliyokuwa nayo kwaajili ya kujiua mwenyewe na moyo wake awekewe mtoto wake...... I was about cry
Hellow wana JF...
Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....
Among the Movies I love are:
The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege
Pamoja Saana.
AshaDii.
Training Day
American Gangster
A Man on Fire
Out of Time
Inside Man
Malcolm X
Devil in Blue Dress
Mo Better Blues
"I'm a cop, I run shit here, you fools just sleep here......playing basketball 24/7...shoe project negroes.....KingKong ain't got nothin' on me"-Training Day.
Ila ana movie zake nyingenie naona amechemsha kama. The great debaters, The Book of Eli.
IMO, Safe House sio nzuri sana kama ilivyotangazwa
Wa kwanza wewe Sherrif kua admit kua Safe House sio nzuri saana (I am looking forward to it); Kua The Book of Eli is not really good (I second u, sikuipenda saana).
Nimependa the quote umetoa.... Can you believe kua I did forget hio ya "Devil in Blue Dress" Dah! Long time aisee....lol
Sherrif it has been long, Happy to have seen you hapa....
Hellow wana JF...
Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....
Among the Movies I love are:
The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege
Pamoja Saana.
AshaDii.
Denzel Washngton ni kiboko
Mississipi masala pale ambapo anamuimbia yele binti nina happy birhday kile kipengele.pale kitandani
Bone collector
Pale ambapo anapambana na muuaji huku akiwa hoi kitandani,baada ya yule muuaji kumchoma kisu queen latifa na kuingia pale alipolazwa.
Out of time
Pelican brief
American gang star manake jamaa alikuwa ni mkali kinooma .
.Ni mkali kwa saaaana
Safe house...
I love the twists and the thrills!
Ofcoz Mississipi Masala would always be on my top list for that is where I discovered Denzel. And anything by Denzel or Morgan Freeman goes with me.
Amistad and Malcom X made me a racist!