KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
Yaani mwanamke unaona fahari kutumika kama kopo la chooni....linakuwa na umuhimu pale....tu mtu anaposhikwa na haja.....
Hakuna cha mfumo wala nini umalaya tu,sasa utalalwa na wangapi?kwasababu huna lakumfanya asahau familia yake,anakupitia tu,eti hutafua hutapika unaakili wewe?hilo tu lakufua na kupika ndo utoe sadaka uchi wako?mbona wavivu wanawake wa hiki kizazi?umesema mambo ya kawaida sana toa hasara ya kua mistress ndo tuone uhalali wa huo mfumo wako wakizembe,Kama umeamua kufuata mfumo huu wa maisha kwanza uwe njema kiuchumi, hata kama hupo njema use strong enough to fight for your needs. Sex kwako siyo priority, ukizama kwenye shughuli zako unaweza kusafiri au unahitaji muda wa kukoncetrate. Hutaki mwanaume akugande.
Asante kwa maoni yako lakini kila mtu ana formula yake ya maisha.Hakuna cha mfumo wala nini umalaya tu,sasa utalalwa na wangapi?kwasababu huna lakumfanya asahau familia yake,anakupitia tu,eti hutafua hutapika unaakili wewe?hilo tu lakufua na kupika ndo utoe sadaka uchi wako?mbona wavivu wanawake wa hiki kizazi?umesema mambo ya kawaida sana toa hasara ya kua mistress ndo tuone uhalali wa huo mfumo wako wakizembe,
Eti upo busy unaandika faida za kua mistress aisee,second hand inaanzia rohoni mpaka mwilini tena ni tabia za mabinti malaya sana.
ni kama nakufaham ivi!!![emoji2]Asante kwa maoni yako lakini kila mtu ana formula yake ya maisha.
Naona unaweka mambo yako hadharani [emoji12]
Jje's mbona umekuwa mkali sana? Ni aje lkn??Una maana gani lakini? wewe ni mlengwa wa hii mambo au?
Kwa taarifa yako, hakuna wanaopata hasara kama watu wa dizain yenu maana huna uhuru na unaesema sijui Bwana.
Tafuta chako uwe huru na maisha yako.
Duuh yaani umetupa jongoo na mti wake?Inamaana ukiwa kwenye ndoa sura hairuki?
Na wengi ni wale wa mama wa Gender issues,
Wengi walikosa wa kuwaowa na wana chuki sana kwa wanaume
...Hapanshaka hawawapendi wanawake walio kwenye ndoa
Huwa chanzo kikuu cha kuvunja ndoa za watu.
Kimsingi
ni ma agent wa ibilisi.
Sijakulenga weweUtakuja kushangaa mimi ndiye nitakuwa mwimba mapambio Mbinguni.
Nko poa kbsa namshukuru Mungu.Jje's mbona umekuwa mkali sana? Ni aje lkn??
Hapana Mkuu usimtukane bhanaa,yeye ndivyo apendavyo na kwake yeye ni sawa na hakwambii wewe lazima ufuate anavyotaka wewe.mpumbavu kweli wewe, wenzia wanalilia ndoa we umeweka upumbavu tupu akilini mwako
Mwambie huyo aache matusi na kutoa rai kwa kashfa utafikiri yeye anajua maisha vizuri,isije kuwa analala stand ya basi.Asante kwa maoni yako lakini kila mtu ana formula yake ya maisha.