The benefits of being a mistress

The benefits of being a mistress

Eti unawatumia,ulisikia wapi gari bovu litavutwa na gari bovu?we endelea ukifikia 50`s kama hutakua umeuwawa kwa kufumaniwa utajua tunalokwambia
Mwaka wa juzi ndiyo nilisherehekea miaka 50 ya kuzaliwa.
 
Kama una miaka 50bado unafikiria kuna faida za kua mistress no wonder umekua mistress uschana wako wote,halafu unawaletea ma binti mawazo mgando hapa,kwanza hatushei karne,kama ulibugi usitake kushawishi wote wa bugi.kwa mawazo hayo najua huna anniversary atakama unayo sio ya wazi na unajua impact ya kua mistress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom