The benefits of being a mistress

The benefits of being a mistress

Sky Eclat, hivi bado hujarekebisha tu? Last time I checked the clock was ticking.

Anyway, mtu akichagua kuishi mfumo flani katika maisha, uwezekano wa kuusifia huo mfumo ni lazima uwepo. Hata JKN alipoamua tuishi kijamaa ilibidi ajitetee sana, kuwa it was the right way to live, hata kama kuna sehemu aliona kuna dosari bado alisisitiza kuwa socialism is the way forward kwa mtanzania.
 
Well, hata warusi na wachina wakati ule hawakufahamu kuwa ubepari utakuwa na nguvu zaidi, still waingereza wenyewe pamoja na kuwa mabepari lakini kuna policy zao wameweka kujamaa mfano huduma za afya.

Back to the topic, unachoamua kufanya lazima ujue faida na hasara zake. Kama hajakuoa unajua uko pale ku have funn no string attached.
 
Aisee! Hivi unapokuwa mistress to somebody's husband nini mwisho wake?hizo faida ni ndogo kuliko hasara! Hupiki,sijui nini then what?teh!wasamehewe tu mamistress loh! Nikukute tu mistress kwa mume wangu nakukata ki nakula na kachumbari! Teh teh teh!
 
Ingekuwa vizuri ujiulize kwanini mume wako ameamua kuwa na mistress?
 
Well, hata warusi na wachina wakati ule hawakufahamu kuwa ubepari utakuwa na nguvu zaidi, still waingereza wenyewe pamoja na kuwa mabepari lakini kuna policy zao wameweka kujamaa mfano huduma za afya.

Back to the topic, unachoamua kufanya lazima ujue faida na hasara zake. Kama hajakuoa unajua uko pale ku have funn no string attached.
Wengine wanafanya/wanachukua maamuzi coz they run outta options. Ni wachache sana, tena sana wanaoamua tu kuwa concubine.

Wapo wanaosema "sitaki kuolewa/kuoa", lakini ukifuatilia kumbe hana nyota ya kupendwa. Yupo na msichana leo, after three months anapigwa chini na hajui kwa nini kapigwa chini.
 
Kama umeamua kufuata mfumo huu wa maisha kwanza uwe njema kiuchumi, hata kama hupo njema use strong enough to fight for your needs. Sex kwako siyo priority, ukizama kwenye shughuli zako unaweza kusafiri au unahitaji muda wa kukoncetrate. Hutaki mwanaume akugande.
 
Mwenzio kashabakwa na kurecodiwa yupo mtandaoni bado wewe,ndo utajua kupima faida na hasara ya mawazo yako
 
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa.

Faida za kuwa mistress:
- Hufui nguo za mwanaume, akitoka kazini anapitia kwako, nguo anaenda kufua mke wake, house boy au anafua mwenyewe weekend.
- Hupiki chakula, mara nyingi anakutoa kwenda kula sehemu sehemu.
- Ananunua zawadi maaana anapenda kukupa furaha muda mwingi.
- Huna kelele za mawifi kukuchukia, mama mkwe hakupendi, hujui hata ndugu zake.
Sasa subiri sura yako ikianza KURUKA KAMA KITENGE CHA URAFIKI hapo ndio utaisoma namba.
 
Inamaana ukiwa kwenye ndoa sura hairuki?
Ukiwa kwenye ndoa sura itaruka pia lakini tayari utakuwa na miradi,nyumba hata ya urithi,watoto na hata wajukuu pia mzee yuko pembeni yako hata kama hataki kula ile kitu lakini yupo ubavuni.
 
Kwani bila ndoa huwezi pata watoto, miradi na maisha yakaendelea?
 
Haya tupe na hasara tupime kwenye mizani msawazo
Hasara ni pale alasiri inapofika......unajikuta kumbe wenzio wanaenda kukumbatia wake zao...wao wanaishia kukumbatia mito ndani ya blanketi chapa pamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom